Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahhaaha Kummmke computer arsenal huyu mtu umenikumbusha mbali sana, kipindi kina saka na smith rowe ndio wanaanza kuaminika, jamaa alikuwa anajua kulalamika huyu
Tumetoka mbali kaka, tushatukanana sana humu, ban tumekula za kutosha hadi tukatishiana maisha

Acha tuenjoi ubingwa kwa sasa
20260522_104529.jpg
 
nahodha mkuu alikuwa ni patrick vieira ,ma nahodha wengine wasaidizi walikuwa ni thierry henry ,dennis bergkamp ,ashley cole na robert pires.
Sawasawa shukrani mkuu kwa kuniweka kumbukumbu sawa.

Miaka 22 ni mingi mno.
 
Kesho tunapata gwaride la heshima kutoka Kwa crystal palace " guide of honor"
Baada ya mechi tunapewa kombe
Parade tunakesha pale North London
COYG
Yes parade ni jumapili tarehe 31 May saa 8 mchana kwenye kitongoji cha Islington kaskazini ya London.

Msafara utaanzia uwanjani Emirates na utapita katika maeneo ya Drayton Park, Aubert Park, Highbury Grove, barabara ya St Paul mtaa wa Upper au Upper Street na kisha kurudi uwanjani Emirates.
 
Yaani timu imebeba ubingwa haijatoa mchezaji bora wala mfungaji bora, ubingwa wa kiboya kuwahi kutokea.

View attachment 3594196
Aujiulizi ni sababu zipi zimefanya aliyetoa mchezaji bora wa mchongo na mfungaji bora qasichukue ubingwa

Ubingwa unachukuliwa kwa tofauti ya point, ubingwa auchukuliwi kwa kigezo cha mchezaji wala mfungaji bora
 
Tumetoka mbali kaka, tushatukanana sana humu, ban tumekula za kutosha hadi tukatishiana maisha

Acha tuenjoi ubingwa kwa sasaView attachment 3593575
Kombe limekuja msimu mbaya kwa Jf , maana Wadau wengi hawapo na engagement imepungua . Sasa hivi unaweza kukaa wiki hata wiki na mechi zinachezwa Uzi haujavuka hata page 5 .

Kitambo kile ukikaa kidogo nyuzi hizi unakuta page 10+ zimesogea Wadau wanawasha moto kwa facts , uchambuzi , Tambo na utani mwingi.

Wanangu wa Arsenal kweli mmepitia mazito sana , Kuna kipindi humu kulikuwa full matusi na maugomvi kisa vipigo na tambo , DullyJr sijui kapotelea wapi
 
Back
Top Bottom