The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

20260506_000513.jpg
 
Arsenal hatimae tumechukua ubingwa wa msimu huu mbele yenu.
Sasa tunasubiri mkutwe na hatia ya kufanya ufisadi mkatwe mipointi kibao mpaka hata yale makombe yenu ya misimu iliyopita mpigwe kiMorocco/Senegal mnyang'anywe tupewe sisi 😀😀😀.
 
City anatuangusha leo
Tufanye juzi ameshinda City 10 bila na weekend anashinda 6 bila.


Unaiona Arsenal kupoteza dhidi ya Crystal Palace B team?

Nyote mnajua the league was over Ile siku ya City vs Everton ila mkaendelea kujikaza kisabuni.


Arsendoooooooo!!!!
 
Kuna tetesi kuwa zile 115 charges dhidi yenu zinaelekea kufika mahala pabaya kwenu na huenda niyo sababu Pep kakimbia ligi mwaka mmoja mapema kabla ya mkataba wake kuisha.

Mnaweza kukatwa points 60 msimu ujao, kuzuiwa kushiriki transfers kwa miaka miwili, labda na faini kali juu.

Hii inamaana mtakuwa mnapambana kubaki ligi kuu maana kuwa kuanza na -60 maana yake ni hata mkishinda mechi zenu zote mnaweza kupata points 54 tu. Mkifungwa na kutoa sare kadhaa mnaweza kumaliza na chini ya points 40, kitu ambacho kitawaweka hatarini kushuka daraja.
 
1780303829096.png


Hapa mambo yanakaribia kukaa sawa.

Mtajikuta mnacheza Sunday League huko.

Mataji yenu tutakuja kugawana sisi tuliokuwa tunamaliza nafasi ya pili 😀😀😀😀😀

Nawatania tu lakini namaanisha.
 
Back
Top Bottom