Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa hapa ni pundits na journalists ambao walitabiri mshindi wa kwanza mpaka wa nne.

Hakuna ambaye aliiweka Arsenal nafasi ya kwanza. Sasa inabidi uelewe ni kivipi hawa watu wana chuki kali inapokuja mada ya Arsenal. Watasema namna ya kucheza watasema kona ila data zinawaumbua

View attachment 3560114
Umeanza kuelewa kwanini pundits hawakuiweka arsenal nafasi ya kwanza, wewe uliona kama ni chuki lakini wenzako wanajua and even the world know Arsenal ni false hopers na si chuki kama mnavyohisi tunawachukia
 
Mbaga Jr mgawa Hormuz
FB_IMG_17768076464742743.jpg
 
Kuna timu hapa ?? Eipielo ndo hivo tena. ....
Fungu la kukosa, waja wa laana!

Arteta apewe life contract..... ! Project ina over 5yrs lakini haina hata mfumo mzuri wa uchezaji... alikuwa anajificha kwenye majeruhi now mna kikosi kipana.....

Majinga kabisa... Netflix
 
Naona umekimbilia kwenye chochote.
Ukisema chochote haifai maana utaleta vidomestic cups vyako hapa.
Man u Epl & UCL
Liverpool EPL&UCL
chelsea EPL & UCL
Arsenal ....... malizia mwenyewe
Kwamba hiyo EPL uliyotaja hapo sio domestic cup ama ndo huelewi maana ya domestic bora umeandika tu
 
Haya itaje EPL kwa Arsenal tuone kama unaubavu huo.
EPl ndio inakupa nafasi ya kwenda kushiriki hata hayo makombe ya international na sio Community shield, EFL wala FA
 
Hivi Aaron Arsenal A.K.A hamis77 yuko wapi? Niliwahi mwambia tukikosa taji ile 2022/23 na 23/24 wachezaji watakua exhausted na morale itakufa. Hata saka nilisemaga atakua na majeruhi ya kutosha sababu ya kutumika sana kwenye mechi hata ambazo tunaongoza 5-0!!

Alibisha sana and the rest is history. Ni wakati tukubaliane Arteta sio kocha wa zama hizi aende La Liga ila kwa EPL hauwezi ukatumia mbinu moja miaka 5+ na utegemee ikuletee matokeo. Na msumari wa mwisho itakua kipigo kutoka kwa Atletico.

#ARTETAOUT
 
Hata tukiukosa ubingwa msimu huu Arteta haendi popote.
Basi nina imani huu msimu tutatwaa taji
 
Hivi Aaron Arsenal A.K.A hamis77 yuko wapi? Niliwahi mwambia tukikosa taji ile 2022/23 na 23/24 wachezaji watakua exhausted na morale itakufa. Hata saka nilisemaga atakua na majeruhi ya kutosha sababu ya kutumika sana kwenye mechi hata ambazo tunaongoza 5-0!!

Alibisha sana and the rest is history. Ni wakati tukubaliane Arteta sio kocha wa zama hizi aende La Liga ila kwa EPL hauwezi ukatumia mbinu moja miaka 5+ na utegemee ikuletee matokeo. Na msumari wa mwisho itakua kipigo kutoka kwa Atletico.

#ARTETAOUT
Siku hizi namuona kwenye majukwaa ya vita akiitetea Israel
 
Leo City anashinda kwa goli nyingi, anaongoza ligi..

Ndo imeisha hio, hapotezi tena....

Waseng****mnadema dema !!!!!
Poleni sana , tunawaombea njaa yaan, ile roho mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom