Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelkenge Mbaga Jr hapa mlikuwa mshakula 3-0, sasa kocha alikuwa ana ongea nini 😂 🤣
FB_IMG_17738141983701180.jpg
 
Kuna imani, matarajio na uchizi

Mfano shabiki wa Liverpool anajua anaongozwa 1 na Galatasaray lakini anaamini na anatarajia kwamba lazima avuke.

Shabiki wa Chelsea kuongozwa tatu dhidi ya PSG na akasema atarudisha huyu hayupo kwenye imani wala matarajio. If they pulled it off tungesema hii ni ile madness ya football na kila mmoja angependa kilichotokea.

Shabiki wa Newcastle at 1 - 1 haamini na hatarajii timu yake kuifunga Barcelona. Hakuna shabiki wa Newcastle aliyechomoza kichwa na kudai atavuka. Humu yupo mmoja na yeye kazi yake ni kushinda jukwaa la Arsenal.

Hii timu ya Kizenge sana. Inapigwa goli 7 na huoni Mashabiki wakiumia kwakua kwao hata kuingia UEFA ni mafanikio tayari, kufuzu be damned.
 
Hawa hapa ni pundits na journalists ambao walitabiri mshindi wa kwanza mpaka wa nne.

Hakuna ambaye aliiweka Arsenal nafasi ya kwanza. Sasa inabidi uelewe ni kivipi hawa watu wana chuki kali inapokuja mada ya Arsenal. Watasema namna ya kucheza watasema kona ila data zinawaumbua

20260319_190239.jpg
 
View attachment 3560114
Arsenal ikichukua ubingwa watu wengi wataumia Sana especially Obi Mikel,Patrice Evra,Paul Scholes na Robin Van Persie
 
Kuna imani, matarajio na uchizi

Mfano shabiki wa Liverpool anajua anaongozwa 1 na Galatasaray lakini anaamini na anatarajia kwamba lazima avuke.

Shabiki wa Chelsea kuongozwa tatu dhidi ya PSG na akasema atarudisha huyu hayupo kwenye imani wala matarajio. If they pulled it off tungesema hii ni ile madness ya football na kila mmoja angependa kilichotokea.

Shabiki wa Newcastle at 1 - 1 haamini na hatarajii timu yake kuifunga Barcelona. Hakuna shabiki wa Newcastle aliyechomoza kichwa na kudai atavuka. Humu yupo mmoja na yeye kazi yake ni kushinda jukwaa la Arsenal.

Hii timu ya Kizenge sana. Inapigwa goli 7 na huoni Mashabiki wakiumia kwakua kwao hata kuingia UEFA ni mafanikio tayari, kufuzu be damned.
Newcastle inapigwa chuma 7 hakuna mtu anaestuka, yani ni kitu cha kawaida sana mbona.
Na hakuna mtu anayezungumzia.

Alafu kuna pimbi mmoja anakuambia bora ashabikie Newcastle kuliko arsenal
 
Kocha wa Newcastle hana presha yoyote. Hadaiwi na mtu na mashabiki wanaona ni sawa tu.

Hii timu ikiwa tu hapo England haichezi high line ila wanafika ugenini Nou Camp eti ndiyo wanajifanya kucheza high line.
 
Jumapili tuna game na City.

Fainali ya Carabao.

Ninaona watu online wanaleta debate ya kisenge kwamba aanze Raya au Kepa.

Fainali ya Carabao.

Tumekua na Kepa kuanzia mwanzo mpaka sasa.

Kisha unamuweka Raya. Ili iwe nini?

Carabao ukimuweka Raya. Unampa ujumbe gani Kepa juu ya huko FA?

Akubebe tena mpaka fainali halafu umuweke tena Raya?

Watu wanatafuta debates za kifala
 
Back
Top Bottom