Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelkenge leo lazima tufungwe na Man City, hatutaki ushindi wala draw

Tunataka kupigwe chuma tatu

IMG-20260412-WA0004.jpg
 
Kenge Labyrinth 84 anaifuatilia Arsenal kuliko anavyoifuatilia Nyukeso yake.

Ukute hata hajui kama wamepigwa huko na Palace😅
Kwahiyo unajifariji kwa matokeo ya Newcastle?? Sisi hata tungeshinda au kufungwa Haina msaada hatuna tunachogombania .
Kama kugombania msimu uliopita tuligombania kombe na tukashinda carabao cup! Tuligombania kitu tunagombania kweli .

Sio nyinyi takataka
 
Sielewi ni kivipi Chelsea hajaungana na Spurs kwenye relegation kule. Tukisema timu mbovu tunaanzns kuambiwa Caicedo mzuri kuliko Rice
Usimfananishe agent wetu wa man City na huyo mchele wenu, agent Wa city amefanya kazi nzuri sana leo kufunga goli la tatu 😂
 
Back
Top Bottom