Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,553
- 19,748
Game ngumu ni City na Newcastle mkuuHapo game ngumu ni huyo burnley. Technically tutakua tayari champions [emoji471]
Arsenal NDOOView attachment 3558089
Game ngumu ni City na Newcastle mkuuHapo game ngumu ni huyo burnley. Technically tutakua tayari champions [emoji471]
Arsenal NDOOView attachment 3558089
Kiukweli una imani kubwa sana na hii timu.Wiki kadhaa nyuma gap lilivyokua 2 kila kiazi kikajifanya expert na watoa laana wakajaa humu.
Nikaonya kwamba hiyo siyo mara ya kwanza kwa City kufikia gap hilo.
Fast forward to today. Gap sasa hivi ni points 9. Mentality monsters wapo hoi.
Timu inayosemwa kwamba inategemea set pieces ina magoli 61, ni magoli mengi kuliko timu yoyote EPL huku ikiwa imefungwa magoli machache kuliko timu yoyote EPL.
Bado hamjasemaWazee TUMETUBU.
HONGERENI
One of the baddest block ever
City hawezi kutufunga labda apate draw.Game ngumu ni City na Newcastle mkuu
Yule bwana mdgo shabiki kindakindaki wa nyukesto nimeshamfanyia booking ndugu zangu...atakuja nyumbani kwangu kula ubwabwa tukisheherekea ubingwa....tusiingiliane🤠🤠Clean sheet ya 15
Dowman on fire
Nzi wamefukuzwa
[emoji1]Yule bwana mdgo shabiki kindakindaki wa nyukesto nimeshamfanyia booking ndugu zangu...atakuja nyumbani kwangu kula ubwabwa tukisheherekea ubingwa....tusiingiliane[emoji1783][emoji1783]
We Labyrinth 84 usimsikilize huyu.Yule bwana mdgo shabiki kindakindaki wa nyukesto nimeshamfanyia booking ndugu zangu...atakuja nyumbani kwangu kula ubwabwa tukisheherekea ubingwa....tusiingiliane🤠🤠
Leo lazima tunshikishe adabu ile draw ya 1-1 kwao ni kama ametangaza vitaNdani ya UEFA leo wanetu [emoji91][emoji91][emoji91]