IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,800
- 7,236
Uchukue kiungo mchele hivi nyie mna akili kweli
Energy drinks, trauma, short on target standard and now aura 😄Kuna ile aura na series ya matukio favourable yanaikuta timu iliyo kwenye form hapa ndiyo hata pasi inaonekana inatoka nje unashangaa kuna mchezaji wao mpira unamfuata.
Nyinyi mkipiga pasi mnampa mpinzani.
Ukitaka kuona vizuri kabisa hii inawezekana vipi ikumbuke game ya Chelsea vs Arsenal tuliyowafunga tano halafu kuna goli White alifunga likasababisha mtangazaji asema "Arsenal are so good they score by mistake"
Sasa City ndiyo ipo hapo sasa hivi. Yaani ni timu inacheza ipo sure inashinda. Burnley anakosa na ukicheki ni aura inatishia.
Wanaona kila aina ya Rangi sasa hivii.Energy drinks, trauma, short on target standard and now aura 😄
Mtaongea yote ila sisi tuna neno Moja juu yenu ARSENAL HATABEBA UBINGWA AS USUAL.
Arsenal nimekubali ni wazee wa standard wamekaa nafasi ya Kwanza kwa siku 200+ na Bado watakosa ubingwa . False hopes for 200+days .
A moment of silent for arsenal fans 😁Au Laana ya Ozil itakuwa inawapika ??🤔
View attachment 3577656
Aongezewe energy drink tafadhaliMbweha nyie.... mshapoteana, kila siku tunawaambia humu....ubingwa hamuwezi shinda...Arteta sio kocha, hana mbinu..mmbahatishaji tu !!!!
Mwizi agewe energy drink??
Hawa watu wanapeana matumaini hewa.. kila mwaka wanatoka kapaAongezewe energy drink tafadhali
Nikajua kuna muujiza labda false hoper kazinduka nilipoendelea kusoma nimeweka simu chini nikacheka sana 😅. Nikajiuliza hivi aliyeandika hivi ni mtu mzima kweli maana toka August tulikua tunaongea lugha mmoja tu Arsenal habebi ubingwa lakini amekaza fuvu ila saivi anahamishia lawama kwa Chelsea maestro.Hua namuona Arteta miyeyusho kwa kusajili wachezaji wa Chelsea.
Na hua namuona miyeyusho kwa kuruhusu hata wasiojua mpira kuhisi wanaujua.
Hapa kuna timu hazitaenda CL wala Europa.
Kuna timu zitakua nje ya 10 bora ila sasa hivi wote utawaona hapa wanandika kila IQ yao inavyowatuma.
At this point Arsenal ikiachana na Arteta haitanishangaza ila itakua ni uhusiano uliokua promising halafu ukaishia njiani kwakua delivery ya Arteta ni questionable.
Regardless kama kuna majeruhi au piling schedule sitashangaa.
Vip Energy drink zimeisha store??Hua namuona Arteta miyeyusho kwa kusajili wachezaji wa Chelsea.
Na hua namuona miyeyusho kwa kuruhusu hata wasiojua mpira kuhisi wanaujua.
Hapa kuna timu hazitaenda CL wala Europa.
Kuna timu zitakua nje ya 10 bora ila sasa hivi wote utawaona hapa wanandika kila IQ yao inavyowatuma.
At this point Arsenal ikiachana na Arteta haitanishangaza ila itakua ni uhusiano uliokua promising halafu ukaishia njiani kwakua delivery ya Arteta ni questionable.
Regardless kama kuna majeruhi au piling schedule sitashangaa.
FlanoMwendo ni ule ule.
Mwizi anagewa Azam energy ili nguvu zimrudie kipigo kianze upya.
HAkuna pimbi wa kuongea kitu
Arsenal mna derby mbili, mojawapo ni ya Westham wanapambana wasishuke daraja, mechi ngumu kwa City ni ipi?City ana mechi ngumu zilizobaki kuliko Arsernal
Hatari mzee. Sasa hivi imefikia kuombeana mabayaVip Energy drink zimeisha store??
jamaa mmewapa energy drink baada ya kuamka kawazidi na mbio😀😀