Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi Arsenal mtaacha lini kusingizia mipira kila mkifungwa?
 
At the end of this season nadhani Berta anawezakuwa na kazi nyingine kubwa ya kutafuta kocha mpya ambaye yuko matured kutuvusha hapa tulipo. Huyu kocha asipokuwa makini ataishia kuwa a new Mauricio Pochetino.
mkiachana na Arteta kiwigi mtachelewa sana kumpata kocha mzuri, lakini Kiwigi hatochelewa kupata Club ya maana. Jichanganyeni Barcelona wamwagikane na Hansi Flick
 
Nyie wajinga mnategemea kuchukua epl mwaka huu kweli hamna akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwezi kununua wachezaji Crystal Palace na reject za Chelsea halafu utegemee ushinde ligi.
images-35.jpg
 
Well done Arsenal. It was a tough game away today, japo Liverpool kwa mechi ya leo walikua kawaida.. we could have gone with them toe to toe without Arteta's arrogance.

Free kick ndio imefanya mabadiliko, otherwise sikuona matokeo tofauti zaidi ya sare kwa timu zote zilivokua zikicheza.

All in all, nategemea mambo mazuri msimu huu maana pamoja na injuries bado tunabaki na timu nzuri.
even last season you went toe to toe with us na ubingwa ukaja Anfield. aliyewaiteni false hopers ajengewe sanamu
 
Mna vichaa nyie,,,,

Mnataka EPL na mudueke ? MArtineli ?

Huyu Zubimendi tumpe mechi mbili tena mtakuja kumkataa !

Victor Goyk huyu ni mshambuliaji machahari tu hamna kitu hawezi vuka 15G/A ,,, na hivi hamna creative mid mzuri wa kumpenyezea pasi za upendo ,,, Òde hamna kitu !
 
Ingawaje bado ni mapema sana kutoa hukumu na tuna wachezaji wapya ambao bado wanahitaji muda.. Ila Arsenal kwenye upande wa attacking tumerudi nyuma sana. Hata timu ikienda mbele unaona kabisa hakuna cha maana ni kama kila mchezaji ana uchezaji wake.. Uchoyo wa kuachia mipira mapema kwa watu kama wakina Martinelli, back pass nyingi. Briefly, kule mbele hakuna Chemistry.. Ni kama viungo watengenezaji wamekutana barabarani na Gyokeres wamemuomba wakacheze nae wakiwa hawajui anataka nini kuonesha ubora wake
 
Sio tu Arsenal hata Liverpool nao shida ipo. Hizi timu ukiziangalia kwa jicho ambalo sio la kiushabiki utaona zina tatizo mbele kwenye nafasi za ushambuliaji. Ekitike kucheza 9 hapana aisee. Shukrani wamempata Isak.. Florian Wirtz bei yake pamoja na anachokitoa ni contrary. Ni kama pace na intensity ya ligi bado ni changamoto kwao. Lakini ni mapema sana kuwahukumu inahitaji muda zaidi kwasababu ukikurupuka sana utatafuta injury ambazo kwasasa ni Kisanga kwa wachezaji wengi. Miili bado imepoa. All in all, ni matokeo mazuri sana kwa Liverpool ukizingatia umeyapata kwa timu kama Arsenal. Cheza vibaya au vizuri muhimu ni point tatu.. Hilo ndio la kujifunza
 
H

HIhihi
 
Tangu yale maspika yanayopiga kelele uwanja wa mazoezi “ you will never walk alone “ yawekwe pale bado hamjashinda game anfield. Mnapigia kelele tu majirani zenu spurs, Chelsea, westham ambao ni mabingwa wa europe.

Na lile mbwa “ win” limegoma kula linataka libadilishwe jina mnalidhalilisha tu kuitwa win , hamjawin trophy yoyote .
Arteta bana mara awashe glopu, mara anunue mbwa huku na kule maspika haya hapa uwanjani mara kuajiri waiba wallet , ligi inabebwa kwa kushinda games uwanjani na si hizi false hopes nyingine 😂😂😂.
Arteta pia asipewe lawama maana hata yeye kacheza hapo mpaka kastaafu hajawahi kuona kombe sasa lipi la kumfukuza hapo arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom