Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1756833229045.jpeg
 
arsenal ni kama wanatimu mbili zinakaribiana sana kwa ubora,wakati liverpool akiumia salah na van timu inaweza kushake sana
 
Hasira za nini ushatiwa kidole we ndio ulikuja anfield kutafuta sare umeikosa umekalia dole la kati moja
Hakuna mwenye hasira hapa, ligi ndio bado mechi ya kwanza, by the way nilijua Liverpool ni timu ya wazee tu, kumbe hata watoto mpo!
 
Hii imesababisha na kocha wenu kuwekeza nguvu nyingi kwenye kujilinda badala ya kutafuta uwiano mzuri wa kushambulia na kudefence
kuna squad yenye balance kutuzidi sisi EPL, au uwiano upi unaongelea wewe? mechi ya Liverpool muda mwingi walicheza Martinelli, Gyokeres, Merino na Madueke...hii haiwezi kukupa threat sawa na Saka, Eze, Harvertz/ Gyokeres na Odegaard.
 
Kocha wenu muoga sana akikutana na team kubwa
 
Back
Top Bottom