Mkuu vipi 😁😁😁🕜😁😁Msajilini mkuu...on time j2 awepo.... Visingizio hatutaki....sijui mara Konate mara Jones fala....
Nakubaliana na weweKwanini Arsenal afungwe tu hakuna namna
Martinelli ni bora acheze Trossard kwa sasa. Ila ule upande ushapata mtu, Eze anaweza km wide playmaker akawa anaingia ndani coz ni dribbler mzuri.Hii game Arteta alitegemea bahati zaidi kuliko uhalisia.. Mapungufu ya Martinelli alikuwa ameshaanza kuyaona tangia muda ndio maana hata mechi ya Leeds hakumuanzisha.. Unakuja kumuanzisha mechi ya Liverpool eti kwasababu ana bahati na Liverpool.. Bado mapema sana lakini Martinelli sio tena mtu wa kuanza kwa wachezaji waliopo kwa sasa
Kamdomo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣