Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 3454693

Hatuko vibaya sana. Tuko vizuri tu on paper. Ila wenzangu akina Flano na akina Mkohoti sasa...
Hizo ni takwimu za kujifariji za kwenye makaratasi, hazina tofauti yoyote na zile takwimu za biashara ya matikiti maji.
Ukitaka kujua kua mambo ni magumu ingia sokoni sasa uone, utashangaa Ødegaard hauziki zaidi ya £20m, Saka £25m Saliba £35m hapo ndio unajikuta unaishiwa power.
Kwa Brighton kidogo biashara yao inaonekana ina uhalisia maana tayari wameshafanya vizuri sokoni na bado bidhaa zao zina uhitaji mkubwa mpaka dakika hii, ila Arsenyau tokea kuumbwa sidhani kama wameshawahi kuuza mchezaji kwa zaidi ya £50m.
 
We dodged a bullet with Sesko. Thank you Andrea Berta.

Gyokeres game mbili goal mbili

IMG-20250825-WA0054.jpg
 
Opponents wetu UEFA champions league

Bayern Munich (H), Inter (A), Atleti (H), Club Brugge (A), Olympiacos (H), Slavia Praha (A), Kairat Almaty (H), Athletic Club (A).
 
kikosi cha kwanza bora msimu huu ,kila mchezaji akiwa timamu kimwili na kiakili..

raya

white

saliba

GM6

cala

nørgaard

rice

ødegaard

saka

eze

gyökores.
 
Wachezaji wa timu ya Kairat Almaty wakionekana kwenye furaha iliyopitiliza baada ya kuona timu yao imepangwa dhidi ya Arsenal ya uingereza.
 
Back
Top Bottom