Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,806
- 13,763
Afadhali kaondoka.Edu ajifunze kwa hii mtu.
Zile dili zao na Arteta kwa kina Sambi hapana aisee.
Afadhali kaondoka.Edu ajifunze kwa hii mtu.
Zile dili zao na Arteta kwa kina Sambi hapana aisee.
Itakuwa wameona jinsi C115Y na sasa Livakuku wanavyomwaga mpunga bila madhara yoyote wakaona nao wasiachwe nyuma. Huyu akija naona atamwuweka bench Calafiori pale LB. Nimesoma mahali kuwa tunataka kumchukua kwa 'loan with obligation to buy' kwanza ili tukwepe adhabu za PSR. Litakuwa kama dili la Raya.Piero Hincapie,matajari wa arsenal safari mbona siwaelewi kabisaaa chuma kipya hicho
Next match tunashinda tena, bet weka figo
Kwahiyo Arsenal ana beki mbovu kiasi hicho mkuu!
Inawezekana ubora wa beki zetu lakini bado ikawa shughuli pevu Gyokeres akiwa anafanya mashambuliziKwahiyo Arsenal ana beki mbovu kiasi hicho mkuu!
😀😀😀 nilijua tu hii siku itafika 😃😃😃Jamani naombeni kuhamia Gunners msimu huu walau kwa mkopo tu.
Na bado…nataka nimuone sesko akifunga debut goal yake sijui itakua lini😅….najiuliza shida ni kocha ama😅..Jamani naombeni kuhamia Gunners msimu huu walau kwa mkopo tu.
Weekend hii mobutu seseko, atafunga kwenye game vs BurnleyNa bado…nataka nimuone sesko akifunga debut goal yake sijui itakua lini😅….najiuliza shida ni kocha ama😅..
Tukubaliane jina pekee la mwamba sa hivi ni mobutu baasi🙌🏿Weekend hii mobutu seseko, atafunga kwenye game vs Burnley
Mbona humu ni nyumbani, house of all football fans.[emoji2]Jamani naombeni kuhamia Gunners msimu huu walau kwa mkopo tu.
Ila matokeo yatakuwa tofauti sasa....Burnley 3 vs Sesko 1😀😀....hawa jamaa imeniingia huruma kwlikwli kuwaonea.....nilikuwa naangalia highlights za mechi ya Burnley juzi na Sunderland...kiukweli Manunu wajiandae....wale wajinga wanakuja kama nyuki yaaniWeekend hii mobutu seseko, atafunga kwenye game vs Burnley
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu Mateso Utd umuachie nani?Jamani naombeni kuhamia Gunners msimu huu walau kwa mkopo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo ni takwimu za kujifariji za kwenye makaratasi, hazina tofauti yoyote na zile takwimu za biashara ya matikiti maji.View attachment 3454693
Hatuko vibaya sana. Tuko vizuri tu on paper. Ila wenzangu akina Flano na akina Mkohoti sasa...
Lakino mimi bado nina imani na mobutu seseko, yule sio mchezaji mbovu..We dodged a bullet with Sesko. Thank you Andrea Berta.
Gyokeres game mbili goal mbili
View attachment 3456143
Hakuna mtu muleLakino mimi bado nina imani na mobutu seseko, yule sio mchezaji mbovu..