Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haupo sawa kichwani haikua tishio na imechukua pointi 3 mzee umepagawa nini😂🤣🤣🤣🤣
Mechi mbovu Mzee, wewe hujui kitu. Nazungumzia level ww unawaza point Nani asiyejua kuwa Liverpool imeshinda?, level ilikuwa chini kabisa.
 
Mechi mbovu Mzee, wewe hujui kitu. Nazungumzia level ww unawaza point Nani asiyejua kuwa Liverpool imeshinda?, level ilikuwa chini kabisa.
Nenda kacheze wewe Ili iwe nzuri ulivyo rofa hata danadana 5 huwezi kupiga sisi tunachojua szobslai kapiga bonge la Gori
 
Nenda kacheze wewe Ili iwe nzuri ulivyo rofa hata danadana 5 huwezi kupiga sisi tunachojua szobslai kapiga bonge la Gori
Hahah nilidhani najadiliana na sportsmen kumbe shabiki maandazi ambaye hajui kitu hahah nilikosea Bana kukujibu, Haya tufanye umeshinda.
 
Hahah nilidhani najadiliana na sportsmen kumbe shabiki maandazi ambaye hajui kitu hahah nilikosea Bana kukujibu, Haya tufanye umeshinda.
We ndio shabiki maandazi nenda kacheze wewe kama ni rahisi
 
Huyu kipa wetu fala sana
.
1756669216258.jpg
 
Hahaha yule jamaa wa Newcastle yupo?
Nipo mkuu , tunahangaika kuweka mambo sawa pale st james kidogo . Mwaka huu transfer imekua ngumu sana kwetu ila mwishoni vijana wanakuja. Nimefurahi kukuona umerudi kwa notification ya eze , hope na mwenyekiti atarudi sijui na notification gani maana ya kombe haitakuepo
 
Nadhani Kepa apewe nafasi, Raya hana nidhamu, ni kipa mzuri lakini anarudia makosa yanayotucost kila siku, hivi ajiulizi kwanini Ramsdale aliondolewa? anadhani Ramsdale alikuwa kilaza?
False hopers bana😂😂 leo raya kafanya kosa gani sasa?? Mnatafuta kumuangushia jumba bovu jamaa wa watu kwamba ile free kick kepa angedaka .
Siku si nyingi gyokeres pia mtamkataa kwa mpira huu wenu usliokosa mtengeneza chance .
 
Back
Top Bottom