Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tangu yale maspika yanayopiga kelele uwanja wa mazoezi “ you will never walk alone “ yawekwe pale bado hamjashinda game anfield. Mnapigia kelele tu majirani zenu spurs, Chelsea, westham ambao ni mabingwa wa europe.

Na lile mbwa “ win” limegoma kula linataka libadilishwe jina mnalidhalilisha tu kuitwa win , hamjawin trophy yoyote .
Arteta bana mara awashe glopu, mara anunue mbwa huku na kule maspika haya hapa uwanjani mara kuajiri waiba wallet , ligi inabebwa kwa kushinda games uwanjani na si hizi false hopes nyingine 😂😂😂.
Arteta pia asipewe lawama maana hata yeye kacheza hapo mpaka kastaafu hajawahi kuona kombe sasa lipi la kumfukuza hapo arsenal
 
Vijeba vikimtazama mrembo Arsenal akikatiza na kanga iliyoloana.
1756731441590.jpg
 
David Raya on Dominik Szoboszlai's goal: “I haven't seen it back yet. Disappointed not to save it like every goal you concede. I think it's a hell of a strike. I remember the ball moving a lot and moving away from me. Hopefully, the next one I can save.”

“It's a very good strike especially with the new balls and everything. We still have to adapt. It's going away from me so it's harder to gauge and save it.” (Sky Sports)
 
Kwa huu mpira wa ujanja ujanja hata man utd round ya pili hampati matokeo

Jana arsenal waliingi wakitarajia draw
Hizi ndio facts za kisenge, Liverpool aliyekuwa nyumbani alikuwa na 0.3 Xg, ukiangalia every attacking metrics we were a better team lakini unaambiwa Arsenal ndiye aliyekuwa anatafuta sare, mbongo kubishana naye kwenye mpira unaweza ukaumwa kichwa
 
Kwa akili hizi ubingwa utatoka wapi , maspika yakusaidie kucheza anflield wakati una martineli na merino as AM 😂😂 , hizi false hopes za arsenal bana.
Team haiwezi kuwa bingwa kwa kutegemea set pieces , goal 6 za arsenal goli karibu 5 ni set pieces .
Chances created ambazo ziko open kabisa hata 2 hazifiki.
 
Tangu yale maspika yanayopiga kelele uwanja wa mazoezi “ you will never walk alone “ yawekwe pale bado hamjashinda game anfield. Mnapigia kelele tu majirani zenu spurs, Chelsea, westham ambao ni mabingwa wa europe.

Na lile mbwa “ win” limegoma kula linataka libadilishwe jina mnalidhalilisha tu kuitwa win , hamjawin trophy yoyote .
Arteta bana mara awashe glopu, mara anunue mbwa huku na kule maspika haya hapa uwanjani mara kuajiri waiba wallet , ligi inabebwa kwa kushinda games uwanjani na si hizi false hopes nyingine 😂😂😂.
Arteta pia asipewe lawama maana hata yeye kacheza hapo mpaka kastaafu hajawahi kuona kombe sasa lipi la kumfukuza hapo arsenal
Nimesoma x3 na sijaelewa, dah
 
Nimesoma x3 na sijaelewa, dah
😂😂😂 hujaelewa nini sasa hapo au ww sio arsenal?? Kama sio false hopers kuelewa ni ngumu.
Arsenal wana mbwa anaitwa “ win” arteta alilileta kuwapa motisha players mpaka leo hakuna walicho win sio carabao sio epl sio fa cup.

Arteta alifunga spika pale training ground ikiwa inapiga “ you will never walk alone” ili wachezaji wazoee atsmophere ya anfield lakini wapi mpaka leo ushindi hamna vs liverpool.

Wanaelewa kina mkorea , henry na castr madueke maana scenario zote wanazijua na walikua wanatuletea hapa.
 
Broo nina wasiwasi wewe bado ni shabiki wa Arsenal kichinichini.. Ni kama vile unamkataa demu usoni ila moyoni unaumia.
 
Naomba aje mtu anayefahamu mpira na mwenye akili timamu aniambie sababu ya kuweka bechi kipaji/game changer kama Eze unasubiri zimebaki dakika 15 ndio anaingia.
Arteta, hamna kocha mule
Eze yuko slow sana, kwa mpira wenu wa kukimbia kimbia kama wehu (mpaka Martinelly huwa anapitiliza goli) Eze hawezi ku-fit kabisa.
 
Hizi ndio facts za kisenge, Liverpool aliyekuwa nyumbani alikuwa na 0.3 Xg, ukiangalia every attacking metrics we were a better team lakini unaambiwa Arsenal ndiye aliyekuwa anatafuta sare, mbongo kubishana naye kwenye mpira unaweza ukaumwa kichwa
Hasira za nini ushatiwa kidole we ndio ulikuja anfield kutafuta sare umeikosa umekalia dole la kati moja
 
Ingawaje bado ni mapema sana kutoa hukumu na tuna wachezaji wapya ambao bado wanahitaji muda.. Ila Arsenal kwenye upande wa attacking tumerudi nyuma sana. Hata timu ikienda mbele unaona kabisa hakuna cha maana ni kama kila mchezaji ana uchezaji wake.. Uchoyo wa kuachia mipira mapema kwa watu kama wakina Martinelli, back pass nyingi. Briefly, kule mbele hakuna Chemistry.. Ni kama viungo watengenezaji wamekutana barabarani na Gyokeres wamemuomba wakacheze nae wakiwa hawajui anataka nini kuonesha ubora wake
Hii imesababisha na kocha wenu kuwekeza nguvu nyingi kwenye kujilinda badala ya kutafuta uwiano mzuri wa kushambulia na kudefence
 
Attachments

  • IMG-20250902-WA0015.jpg
    IMG-20250902-WA0015.jpg
    55.2 KB · Views: 18
  • IMG-20250902-WA0013.jpg
    IMG-20250902-WA0013.jpg
    83.7 KB · Views: 18
  • IMG-20250902-WA0016.jpg
    IMG-20250902-WA0016.jpg
    63.7 KB · Views: 18
  • IMG-20250902-WA0018.jpg
    IMG-20250902-WA0018.jpg
    13.9 KB · Views: 21
  • IMG-20250902-WA0017.jpg
    IMG-20250902-WA0017.jpg
    87.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom