Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Timu wampe kocha wa wanawake, she knows how to win trophies, sio hii takataka ya Spain
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Berta angekua yuko serious kweli kabla ya kutoa pesa kusajili wachezaji wa bei kubwa kwanza angeanza kusajili kocha.Under Arteta tutasubiri sanaaaaa
Kamdomo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Berta angekua yuko serious kweli kabla ya kutoa pesa kusajili wachezaji wa bei kubwa kwanza angeanza kusajili kocha.
#Tetea mitano tena. View attachment 3460505
Nili mwambia mkorea trosard ana takiwa mapema ilo ku balance mzani, huyo martineli ni kanjanja to.Martinelli ni bora acheze Trossard kwa sasa. Ila ule upande ushapata mtu, Eze anaweza km wide playmaker akawa anaingia ndani coz ni dribbler mzuri.
Ni hivyo tu Arteta mbishi mbishi.
Stats zimemkataa. Au kacheza vizuri?
😂😂😂😂😂Inabidi tupige invincible 2.0 msimu huu
Why was he delayed?Nimemuona Eze ni mtu sana. Mambo mazuri yanakuja.
Leo yamekuwa ndiyo maisha 🤣🤣😅 nipo, ndo maisha hayo