Hahah usinichekeshe bana, timu yetu Bado sana, hatujaingia vizuri kwenye mfumo wa kocha na Bado tuna kazi ya kuleta baadhi ya watu. Mechi mbili kubwa si kipimo halisi, bali kinachotakiwa ni kuwa na consistency na kuutawala mchezo.Wewe wa wapi tena?
1. Uliangalia ile derby ya Man U vs Liverpool? Nani alikuwa anaombea mpira uishe (kumbuka liverpool ndio timu bora kwa sasa)
2. Umeangalia hii mechi na arse8 akiwa kwake na tukiwa pungufu na mabeki wetu wote kila mmoja akiwa amepewa yellow?
United kwa sasa iko vizuri sana.
Kitu ambacho labda hukijui ni kwamba Kwa Sasa kocha kazi anayofanya ni timu kuutawala mchezo kwanza Kwa maana ya kucheza vizuri Ili kuwa hatarishi Kwa mpinzani Kila wakati tukiwa na mpira hata Kwa muda mchache, kama ulishawahi kuangalia hata mechi kumi za Sporting CP kipindi jamaa ni kocha utaelewa Hilo Kwa maana hatujafikia hata robo yake, huu ni mchakato, taratibu tutakuwa tunajiboresha.