makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Nipo ngende, namalizia tu kukusanya dawa kabla mizimu haijanirasmisha. 🤣Upewe tu mkoba unafaa kabisa kuwa mgangA😁😁😁😁😁😁😁😁
Nipo ngende, namalizia tu kukusanya dawa kabla mizimu haijanirasmisha. 🤣Upewe tu mkoba unafaa kabisa kuwa mgangA😁😁😁😁😁😁😁😁
Pole Sana Mkuu ndio MaishaJ5 spurs
Nenda kafundishe wewe kama rahisiArteta alishinda FA akiwa na kikosi alichorithi kutoka kwa Emery.
Tangu akipangue na kupata kikosi chake hajawahi kuvuka raundi ya nne
Bob vipi? Cheza kwa step usimkanyage mwenzioNenda kafundishe wewe kama rahisi
Nenda kafundishe wewe kama rahisi sio kubwabwaja humuBob vipi? Cheza kwa step usimkanyage mwenzio
Nenda wewe ukapewe nafasi ya arteta sio unabwekabweka humuIlikua rahisi kustick around kwenye huu uzi early arrival ya Arteta kwakua deep down kila mtu alijua kwamba tupo hovyo so there is not much we can do.
It os very difficult kipindi hichi kwakua everything is out there for us to grab ila ni kutojua kupress advantage, poor mentality na spirit. Nimewahi sema Arteta anaogopa kusajili ili asihojiwe.
Asiposajili hata mashabiki mnagawanyika, kuna wataosema ila hajasajili. Ila akisajili kila mmoja atahoji.
Unaishi wapi?Nenda wewe ukapewe nafasi ya arteta sio unabwekabweka humu
Nenda kafundishe wewe maana naona unabwekabweka ovyo usiniulize maswali ya kishambaUnaishi wapi?
It sour? Isn't it?Ngoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
2005 we are beating united to win FA cup via penalties
Ngoja niende online nitafute kazi ya kuspend nayo usiku. Nishashikwa na hasira.
FA out
Bado Carabao
UCL
Na ligi