Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🚨 Arsenal in talks with Nice about sending Nicolas Pepe on loan. Not done but discussions ongoing with hope it gets there. #AFC chances of signing a new winger always thought to have depended on 27yo winger leaving @TheAthleticUK after @garyjacob #OGCNice Arsenal in talks with Nice over Pepe loan
IMG-20220819-WA0012.jpg
 
Project ya msimu huu kwa mujibu wa Edu alisema Ni kuleta Quality players TU

Hivo wanasema Winger anayekuja sio backup Kama wengi tunavyodai ,Ni anayeweza kuingia kikosin na akakupa A performance

Edu alisema phase ya ku implement structure ilikuwa last season, ndio maana wachezaji waliosajiriwa Ni Potential na wanaoingia kwenye mfumo wa mwalimu , Kina Aaron Ramsdale, Odegaard, Tomiyasu, n.k ,

Phase ya 2 Ni kuweka mawe tu


🚨 Arsenal’s primary focus in the last days of the window will be bringing a wide player. The club only want a player that they’re convinced that will add top quality. Reports, @David_Ornstein.
IMG_20220819_182413.jpg
 
Hatubishani, tunapeana mbili
3 za soka kaka.

Rudia kusoma ulichoandika mkuu, vinajifunga vyenyewe.

1.umesema
"thomas Partey hakuletwa kuchukua nafasi ya Xhaka ndio maana wapo wote uwanjani. Xhaka hakuwahi kushindwa kazi yake, kinacho kuchanganya na wengine wengi ni kudhani Xhaka ni DF.
Sote humu tulikuwa tunalalamika xhaka kutumika katika nafasi asiyoimudu, atumike kama anavyojicheza timu ya taifa, ikafika hatua tukagawanyika, wengine wakisema auzwe (mimi mmoja wapo), japo msimu huu kaimarika.

2. Umesema
"Xhaka alitumika hiyo nafasi unayosema "Kazi ilimshinda" kwa kuwa Wenger hakuwa na option ya ziada baada ya majeruhi ya Francis Coquelin, Jack Wilshire, Aaron Ramsey, Santi Cazorla, Chamberlain, inconsistency ya ElNeny, Flamini na Rosicky walikuwa wanondoka na Mikel Arteta alikuwa amestaafu"
Hapa kwa kilugha maana yake ushakubali xhaka katumika DF, basi partey hakuja kuchukua nafasi ya xhaka ila alikuja kuchheza nafasi ambayo sisi hatuna wa kuicheza kiasi xhaka analazimishwa kucheza hapo.

Mimi sikuwa huko kwanini xhaka anapata nafasi kwa kila kocha, wala partey kaja chukua nafasi, nilikuwa nazungumzia PARITEY KUONEKANA HANA IQ YA SOKA.

ukisoma tena uttanielewa kaka, nimezungumzia kuna vitu si cha mchezaji mmoja, ila ni timu nzima hao kina busquets si kazi ya mtu mmoja ila ni kazi ya timu nzima, na ndio maana ikaitwa timu(kiingereza TEAM)
Yes! makaveli10 sorry kwa kuelewa vibaya maoni yako awali.

Nimesoma na nimekuelewa uzuri baada ya kuunganisha na haya maelezo. Sorry if I sounded different but we good always. 👌
 
Naona ndugu isajorsergio alisoma ila hakuelewa nimaanishacho.

Shukrani kwa ufafanuzi.

Binafsi alipoluwa anatumika position tofauti na ya national team na kutoa maboko nikatamani hata auzwe aende kwa watu wanaojua kumtumia, ilipokuja pauni milioni 18 ya roma nilitamani aende kiukweli maana tulikuwa tumamdhalilisha.
Msimu huu niliandika sehemu kuwa xhaka ana mabadiliko atatufaa, yule akianza fresh, akiwa benchi fresh pia unakuwa na kikosi kipana.
Thanks kwa maelezo ya kina kwa ulichomaanisha makaveli10 nimekuelewa niliteleza kuelewa ulipofafanua kuhusu positions.

Sasa nimeelewa maana yako. 🙏
 
🚨 Negotiations are ongoing over the terms of Pepe’s potential loan to NICE but there is growing confidence that an agreement will be reached for the 27-year-old.

(@SamJDean / @TeleFootball )

 
Nketia kwa sasa Amekomaa na kukua pia, dakika chache anazopata na kuzitumia zinaonyesha hilo, yuko faster,ana shoot, anaweza tokea kushoto na kulia na akaingia kwenye box kwa kasi ile ile , ila anazidiwa vitu vichache sana na Jesus.
Nketia ni finisher mzuri zaid ya Jesus ila jesus ana vingi zaid ya Nketia
Moja ya players waliotakiwa wawe wamefurumushwa ni huyo Nketiah problem inakuja kwa sasa kumpata forward katika football ya sasa ni ngumu sana that's why Arsenal wakamkimbilia Jesus kwa nguvu zote na ndiye starter wetu kwa sasa Nketiah ni moja ya players ambaye anaamka na mood ya kuplay sio wa kumtegemea katika kila match kama Jesus na Nketiah aendelee kuwa back up ila ameachwa km 100 na Jesus hakuna anachomfikia hata robo na Arsenal haiwezi sajili scorer wa maana tena aje akae benchi au Jesus akae benchi Nketiah atacheza FA na Europa league kwenye stage za mwanzo atasaidia kwa kiasi chake ndio michuano yake licha hapa mwishoni kwenye league aliamka but sio mchezaji wa kukupa results au trophies

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nicolas Pépé is very close to joining Nice. The player is enthusiastic about the project. It is not yet known whether the loan will include an option to buy.
 
🖊️ Arsenal wameripotiwa kuanza mazungumzo na Martinelli kwa ajili ya kusaini mkataba mpya.

Amebakiza miaka kadhaa katika mkataba wake wa sasa lakini klabu inataka kumlinda ili kumpongeza kwa kiwango chake cha hivi karibuni na kumjumuisha kwenye mradi wa klabu .
 
Back
Top Bottom