Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaambiwa ivi, hakuna mchezaji wa Bournemouth aliegusa mpira kwenye boksi (18yard) la arsenal😅😅
 
Siku hizi Arsenal unaiangalia huku mguu uko juu.. No stress!

Kwanza wachezaji hawatoki hata jasho. Wanagusa tu!
Huu Ni mpira unaohitaji technical players ,

Tuliucheza kipind Cha Kwanza kwa palace ,na Emirates juz, kadri siku zinavyosogea tutakuwa tunampigia mtu full
 
Yaani unatamani uione Arsenal ikicheza kila siku kwa huu mpira.

Burudaaani kabisa!
 
Back
Top Bottom