Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inahitaji strong CM mwenye uwezo wa ku link vzr na sehemu ya ushambuliaji. Pia mtu wa kumsaidia Saka, the guy is exhausted sana game hizi tatu za mwanzo. Then haitakuwa tena kuwania top 4 bali kuwania u champion
Pepe wiki hii anaondoka ,then analetwa Winga Mwingine ,sio backup Bali anayeweza akaanza na saka akakaa bench na Moto ukawaka vile vile
 
Nakumbuka hata sisi msimu uliyoisha zile mechi 4 za mwanzo ni ushindi tu, mara tumempiga mtu goli 7 kelele zikawa nyiiiingi kua huu ni msimu wetu, tena tupo na GOAT mwenyewe lazima tuchukue Epl, wazee wa kosi la dunia tukawa ni mkosi kweli duniani ligi inaisha tuko na GD 0.
Ila yote heri tuombe uzima ili tuendelee kupata burudani ya EPL.
Shida mlikuwa na MAGWAYA mwaisa, Ronaldo anafunga yeye anaachia 🤣
 
Ramsdale-24
White-24
Saliba-21
Gabriel-24
Zinchenko-25
Saka-20
Ødegaard-23
Martinelli-21
Jesus-25
Tomiyasu-23
Tierney-25
Lokonga-22
Vieira-22
ESR-22
Nketiah-23

15 players in yesterday’s squad <25

The potential is incredible. These 3 wins are merely the beginning of an era.
 
"We will try till the end. Window is tricky at the moment. We would like to do something else but let's see what we can do"

- Arteta
 
😂😂😂 weekend ijayo Marco Silva si ndo yupo Fulham sasa hivi eh.

Tunampa dakika 30 akiweza kuzimudu tutamwacha salama .
 
Mechi mbili zijazo zote Emirates

Possible points 6 hizo

Then tutaenda kwa man u anayejitafuta ,
 
Hii arsenal inatakuja kutogambanisha na majukwaa ya majirani zetu

Kama sasa hivi amebaki Flano kuja kuchungulia huku
Ila wengine wote tumeshawaita mbwa wapekaa pale
 
😂😂😂 weekend ijayo Marco Silva si ndo yupo Fulham sasa hivi eh.

Tunampa dakika 30 akiweza kuzimudu tutamwacha salama .
Hii game ni ngumu inabidi tujipange vizuri Fulham wazuri,Saliba ajipange vyema kumdhibiti Mitrovic.
 
Bournemouth kupigwa tatu sio kama timu mbovu, sema tu alikutana na wahuni
Wamemvutisha pumzi ya moto dakika 20 za mwanzo akajikuta bao mbili faster

Bournemouth amepiga mpira mkubwa kuliko nyumbu,

Kituo kinachofata ni fulham, ambae Liverpool alilazimisha draw

Huyu Fulham atapata dozi moja matata sana
Itakua salamu kwa nyumbu huko unyumbuni
 
Back
Top Bottom