BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,193
- 2,543
Ila hamiss alizidisha duuuh!!!!Wakati wewe unamtukana mcheki hapa chini ndugu yako Masingeli alivyokua anaudanganya umma kuhusu Havertz.
Mc Masingeli huko aliko sijui hata ana hali gani, leo sijamuona kabisa kwenye jukwaa la Utd.View attachment 3200754
