Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kukumbushana tu ndugu zetu vibwengo wa arteta.

1. CARABAO: MMETOLEWA❌❌❌❌

2. FA CUP: MMETOLEWA❌❌❌❌

3. UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MMETOLEWA❌❌❌❌

4. PREMIER LEAGUE: BADO MNADANGANYANA MTASHINDA(🔞🔞🔞🔞)
 
Duh
 
Asee
 
Mmh
 
Asee
 
Site na Arsenal kama simba na yanga.

Matarajio makubwa mbuzi mmoja akatulizwa na penati mwingine akala fimbo moja.

Kama kuna shabiki wa Arsenal ambaye amekuaa disappointed kufungwa jana basi itakua hakumsikia Arteta au alimsikia ila aliamini maneno ya waliosema tunaweza pambana na kila timu duniani.

Of course we can. Ila usisahau kwamba hizo timu zinaweza kupambana na sisi pia.

ST na forwards wa Site waliposhindwa kuiingia low block ya madrid nani aliwaokoa? CM.

ST na forwards wa bayern waliposhindwa kuscore nani kawaokoa? CM.

Hua nasema mid zetu zinahitaji kua long shot takers haswa tukichezewa haram football. Kuanzia kwa Newcastle, Westham, Villa, Porto, Bayern kote huko CMs ilibidi wawe vichaa wa shots.

Anyway, Arteta alisema tunahitaji kutalii msimu wa kwanza CL kabla ya kwenda kuufuata ubingwa next season.

Sasa tuwe tunasikilizana nikiwa nawaambia kitu kuhusu mpira. Nimeiona Bayern ya Khan, Madrid ya Beckham, United ya Beckham, Newcastle ya Alan Shearer but I chose Arsenal.

This is my team. I love this team. Nahuzunishwa na wachache wanaofurahia tukitoka kwenye tournaments kwa hoja kwamba sasa tutafocus na hiki hapa.

Haya sasa Site katoka CL means atafocus na nini? Ligi. Ambayo sisi tumeibottle wiki iliyopita.

Muwe mnaona zaidi ya mnachoambiwa, be logical. Judge umri, uwezo na akili ya mchezaji ukimuangalia.
 
wapi Masingeliii mzee wa Supa kompyuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…