Kuna asenali ya jukwaani ya wazee w mapenzi upofu na asenali ya kule wingereza yenye kina kai... ANGALIZO Moja ni matokeo yake unaambiwa kabla ya mechi pili matokeo yake baada ya mechiiii
aloooo usizichanganye utapata kifukutoooo......
Poleni asenali lia lia,arteta kajitahidi ila supakompyuta limemuangusha![]()

wapi Masingeliii mzee wa Supa kompyutaAcha roho mbaya 😂Arsenal kumejaa matapeli wa mpira 😂

Masingeli aliziaminisha hizi Kondoo zake kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, Masingeli alitaka hizi Kima za humu ziamini kua kombe la Fa ni ngumu mno kuchukua kuliko Uefa

Hiviwewe unadhani unachukua tu kama unachukua tonge la ugali kwa sahani?
Huwa mnawaza kweli?
rice saka odegard hawa ni worldclass players walio baki hawawezi ingia squad ya Madrid wala cityArsenali ana world class player mmoja tu
Declan Rice
Wengine wote ni a bunch of average players
Mpaka mtakapokubaliana na hili ndio mtafanya maamuzi magumu kwa Transfer market
hao wote haingii pale mufcrice saka odegard hawa ni worldclass players walio baki hawawezi ingia squad ya Madrid wala city
Tumeshatolewa...mmeridhika sasa??...roho ya kwann tuMasingeli aliziaminisha hizi Kondoo zake kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, Masingeli alitaka hizi Kima za humu ziamini hata kombe la Fa ni ngumu mno kuchukua kuliko Uefa
Chawa watiifu arsenal2004 na mkorea sijui wana hali gani sasa hivi huko walikoView attachment 2967145
Biashara imekwisha kama nilivyoandika hapa. Nakumbuka Akina hamis77 Will Jr Castr Montserrat waliniita pessimist.Hapa duniani timu ninayoipenda kuliko zote ni Arsenal FC ikifuatiwa na Simba SC na national teams za Tanzania na France.
Lakini niseme wazi kwamba kwa jinsi Arsenal inavyocheza mpira slow basi hatutakuja kamwe kubeba makombe makubwa.
Aina ya mpira wetu ungeweza kuwa hatari sana kama tungecheza kwa kasi. Kucheza taratibu hivi kunataka uwepo wa wachezaji exceptional ili kuweza kubeba makombe.
Barcelona iliweza kubeba makombe kwasababu walikuwa na Messi, Xavi na Iniesta, pia Puyol, Alves, Bosquet, Pique, Villa etc. Mara kadhaa walicheza kwa kasi na kupiga counter lakini mostly walitegemea hao wachezaji hatari.
Sasa hapa kwetu Arsenal kuna wachezaji sita ambao angalau wana winning mentality ni Rice, Saliba, Martinelli, Trossard, Partey na Saka. Na hawa wote ukiondoa Saliba na Rice ni normal players, sio exceptional.
Wachezaji ambao nawaona ni squad players na watakupa output ya kueleweka mostly kwenye mechi ndogo ni Odegaard, Magalhaes, White, Zinchenko, Tomiyasu na Gabriel Jesus. Nawapa muda Kiwior na Raya.
Wachezaji mizigo ni Elneny, Nelson, Havertz, Vieira, Nketiah, Rowe, Ramsdale na Soares. Hawa waondolewe haraka maana hawana faida yoyote. Akina Lokonga na Marquinhos waliopo mkopo wasirudi.
Kwahiyo katika hali hii nategemea Arsenal tutatolewa UCL kwenye robo fainali na tutaingia top 4 ya EPL kwa tabu sana. Tutatolewa FA siku chache zijazo.
Mwezi huu wa December tunaweza kupata point chache sana maana tumeshapoteza kwa aston villa na hapo bado broghton, liverpool, westham na fulham.
January apatikane beki wa kati, winga wa kulia na mshambuliaji hatari ili angalau kuokoa jahazi lisizame kuanzia February 2024.
Arteta na Edu waache kuleta wachezaji laini na waache huu mpira slow slow.
Biashara imekwisha kama nilivyoandika hapa. Nakumbuka Akina hamis77 Will Jr Castr Montserrat waliniita pessimist.
Vijana kubalini kukaa chini na kujifunza kwa watu waliotangulia kuufahamu mpira wa miguu. Nimeangalia mpira miaka mingi na ninaifahamu Arsenal.
Jana Arsenal imekuwa outplayed na dominated na timu iliyochoka kama bayern. Timu inaonewa kwenye ligi lakini imetutesa Arsenal.
Jana nadhani mmeona jinsi Arsenal tulivyo na classic players wawili tu, Saliba na Rice. Wachezaji wengine ni mid table watupu.
Ondoa Arteta pamoja na takataka zake akina Odegaard, Zinchenko, Magalhaes, Gabriel Jesus, Havertz, Nketiah, Jorginho, Rowe nk.
Timu ianze upya na icheze objective football.

Arsenal imekua outplayed na dominated?Biashara imekwisha kama nilivyoandika hapa. Nakumbuka Akina hamis77 Will Jr Castr Montserrat waliniita pessimist.
Vijana kubalini kukaa chini na kujifunza kwa watu waliotangulia kuufahamu mpira wa miguu. Nimeangalia mpira miaka mingi na ninaifahamu Arsenal.
Jana Arsenal imekuwa outplayed na dominated na timu iliyochoka kama bayern. Timu inaonewa kwenye ligi lakini imetutesa Arsenal.
Jana nadhani mmeona jinsi Arsenal tulivyo na classic players wawili tu, Saliba na Rice. Wachezaji wengine ni mid table watupu.
Ondoa Arteta pamoja na takataka zake akina Odegaard, Zinchenko, Magalhaes, Gabriel Jesus, Havertz, Nketiah, Jorginho, Rowe nk.
Timu ianze upya na icheze objective football.
Biashara imekwisha kama nilivyoandika hapa. Nakumbuka Akina hamis77 Will Jr Castr Montserrat waliniita pessimist.
Vijana kubalini kukaa chini na kujifunza kwa watu waliotangulia kuufahamu mpira wa miguu. Nimeangalia mpira miaka mingi na ninaifahamu Arsenal.
Jana Arsenal imekuwa outplayed na dominated na timu iliyochoka kama bayern. Timu inaonewa kwenye ligi lakini imetutesa Arsenal.
Jana nadhani mmeona jinsi Arsenal tulivyo na classic players wawili tu, Saliba na Rice. Wachezaji wengine ni mid table watupu.
Ondoa Arteta pamoja na takataka zake akina Odegaard, Zinchenko, Magalhaes, Gabriel Jesus, Havertz, Nketiah, Jorginho, Rowe nk.
Timu ianze upya na icheze objective football.

Wewe jamaa unaongeaga ukweli mchungu sana ambao asilimia kubwa ya mafalse hopes ya humu hua hayapendi kuusikia, mara nyingi hua unaongelea uhalisia wa timu yenu ilivyo kitu ambacho kinasababisha wanazi wasiopenda kusikia madhaifu ya timu yao wakuchukie, humu wengi wanataka kusikia mazuri ya timu tu, ukiongelea mapungufu watu wanakuona ni mamluki au haujui kitu kuhusu mpira.Tumeshatolewa...mmeridhika sasa??...roho ya kwann tu

Wanangu mnamaliza phase4 mikono mitupu, kweli nimeamini phasé 5 ndio phase ya makombe

Masingeli aliziaminisha hizi Kondoo zake kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, Masingeli alitaka hizi Kima za humu ziamini hata kombe la Fa ni ngumu mno kuchukua kuliko Uefa
Chawa watiifu arsenal2004 na mkorea sijui wana hali gani sasa hivi huko walikoView attachment 2967145