Maoni binafsi hayo lakini uhalisia ndio huu...Baada ya kupangwa hatua ya mtoano ya 16 bora hamis akasema tukutane fainali uko 😀 😀😀
ndio kilichobakiKombe pekee lenye Wenger orphans watanyanyua msimu huu ni ili hapa pekee 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2966886
Yule mchambuzi wao nguli mwenye badge ya fifa toka zurich anapotoroka kipindi kama hiki anapoteza uhalali wa maoni yake kupewa uzito unaostahili. Sasa kazi yote kamuachia HENRY14 na Castr wanapata shida toka kwa nzi wote wa EPL.Mwaka jana muda kama huu Nzi tulijaa humu hivi hivi plastic arsenal fan wakala chocho wakabaki ma hardcore wa timu yao
walio kunywa maji ya bendera
msimu ukaanza tena yudas wakarudi na takwim zao
Na hapa msimu unaelekea mwisho Nzi zimerudi tena kuleta fujo
Guess what ni repetition plastic fans wametoroka tena mpaka msimu ujao
Hivi wewe unadhani unachukua tu kama unachukua tonge la ugali kwa sahani?msimu huu imebaki EPL pekee ;arteta hata kama akiikosa tena auchukulie huu msimu kama somo na uzoefu kupata ila kashajitengenezea mazingira magumu ya kupewa tena muda zaidi kuendlea kubaki arsenal mana kitakachotizamwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si kingine kwa msimu ujao.
Umeona Hao ,kina Henry walishindwa kuchukua CL na Arsenal ......hili kombe sio poa kabisaHivi mlikosa wachezaji mkaona mumsajili Odegaard yani Ameshindwa fundi Ozil fundi fabregas eti Odegaard ndio aweze.?
Tafuteni kocha wa kueleweka na kiungo mshambuliaji wa kueleweka.
joto lake sio la kitoto .....huwa nawacheki Hawa wazee wanavosema mwanzo WA msimu tunachukua pl na UEFA 
....mpaka tunachukua uefa tumepitia nyakati ngumu Sana ambazo hazielezeki ....harafu Hawa kina ordegad tu wajuzi et wafike wanachukua CL mamaeeee
N kweli mkuundio kilichobaki
Lile joto la pale Allianz arena Naona wameona mziki WA kuchukua CL ....heshima itakuwepo sasa ....wataacha kuandika hapa uharoooHiviwewe unadhani unachukua tu kama unachukua tonge la ugali kwa sahani?
Huwa mnawaza kweli?
Ww n kichwa maji, AssAnal akimuacha Arteta Ujue Ndio mtarudi Kule kule kupambania nafasi na akina Everton na usishangae akachukuliwa na big teams.msimu huu imebaki EPL pekee ;arteta hata kama akiikosa tena auchukulie huu msimu kama somo na uzoefu kupata ila kashajitengenezea mazingira magumu ya kupewa tena muda zaidi kuendlea kubaki arsenal mana kitakachotizamwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si kingine kwa msimu ujao.