Hyu mhuni hatakaa atoke tena first eleven...Partey atakuwa anatumika kwny special mission...ili tum manage na majeraha yake....ila natamani sana Zinchenko awe anakula benchi mechi ngumu maana yule ndo weak link yetu...ule upande kule ni wa Super Hiroshima Tomiyasu au Polish monster KiwiorArteta says Havertz form has forced a change of plan at Arsenal
[emoji3578] @sr_collings
Kocha wa Luton anasema ,ukitaka kucheza physical,Arsenal wanakupa hiyo game ,ukitaka Total football wanakupa hiyo game,ukitaka Haram football ndio mafundi wenyewe ,Arteta ana mifumo hatari sana asilimia kubwa ya makocha na wachambuzi wameshaanza kumuogopa.
Zile dakika tano za mwsho kipindi cha kwanza...kuna mbinyo ulipigwa pale mpk nikawaonea huruma Brighton 🤠🤠...yaani kila wakitaka kutoka wanakwama...walikula ngeta moja metata sana mpk De Zerbi akawa anashangaashangaa haelewi kinachoendeleaKocha wa Luton anasema ,ukitaka kucheza physical,Arsenal wanakupa hiyo game ,ukitaka Total football wanakupa hiyo game,ukitaka Haram football ndio mafundi wenyewe ,
Angalia hapa picha ya kwanza , Wachezaji 9 wa Arsenal wapo kwenye zone ya Brighton ,hii Total football
Halafu angalia picha ya Pili
Wachezaji 9 wa Arsenal wapo kwenye zone Yao wameweka low block vs mancity View attachment 2955959View attachment 2955960
[emoji16] kuna muda kabla ya half time kama alidata iviZile dakika tano za mwsho kipindi cha kwanza...kuna mbinyo ulipigwa pale mpk nikawaonea huruma Brighton [emoji1783][emoji1783]...yaani kila wakitaka kutoka wanakwama...walikula ngeta moja metata sana mpk De Zerbi akawa anashangaashangaa haelewi kinachoendelea
Ile save aliyoifanya leo,kipind cha nyuma kidogo ilikua kambaOur defense is best.
Inampa Raya clean sheets zake.
Plus ya leo hii ni yake ya 5 mfululizo
Usiwapangie watu furaha Yao mkuu.......let them celebrate...that is what they train and play for!......kwanini wasipongezane kwa kazi nzuri ya kumlinda kipa wao aondeke na clean sheet?........yaan hapo wametimiza jukumu lao kama forward anapofunga TU....wewe unaumia Nini sasa........umeangalia game ya city....umeona Ortega alivyouchukua ule mpira kwa nyuma akiwa under pressure?.......washabiki wakati mwingine tunapenda kuona moment kama hizo....let people enjoy the game.... don't kill joy!Yan Clean sht inashangiliwa hadi na Trossard nimeshangaa sana leo[emoji16][emoji16]View attachment 2955975
Umeongea maneno mengi yasiyo na maana kwanguUsiwapangie watu furaha Yao mkuu.......let them celebrate...that is what they train and play for!......kwanini wasipongezane kwa kazi nzuri ya kumlinda kipa wao aondeke na clean sheet?........yaan hapo wametimiza jukumu lao kama forward anapofunga TU....wewe unaumia Nini sasa........umeangalia game ya city....umeona Ortega alivyouchukua ule mpira kwa nyuma akiwa under pressure?.......washabiki wakati mwingine tunapenda kuona moment kama hizo....let people enjoy the game.... don't kill joy!
Unajua nini bro...Mkuu...ukiniwekea hapa Kai na Ozil kwa ligi ya sasa naenda na Kai🤠🤠....Ozil ni fundi na anakuamulia mechi yyte ila Kai kama kuna vita sehemu mchukue nenda naye...na uleule wembamba wake mnaenda kuibuka washindi kwny hyo vita....wamerudi wachezaji wte ila bdo yupo first eleven...na hatokaa atoke...haumii hovyohovyo....na anacheza faulo za akili sana...hyu inatakiwa Chelkenge tuwaongezee hata aftatu maana tumewapiga kwny bei
Arsenal waliniudhi sana kwa kutofunga bao katika ule mbinyo aisee.Zile dakika tano za mwsho kipindi cha kwanza...kuna mbinyo ulipigwa pale mpk nikawaonea huruma Brighton 🤠🤠...yaani kila wakitaka kutoka wanakwama...walikula ngeta moja metata sana mpk De Zerbi akawa anashangaashangaa haelewi kinachoendelea
Kai ananikumbusha mimi nilivyokuwa shule nilikuwa mpole sana mpaka sikuweza kufikiriwa kuhusishwa na vitendo vyovyote visivyo sawa vya wanafunzi.[emoji1787][emoji1787] kwenye ku dribble utamuonea ,hiyo kazi haiwezi
Wewe mpe kazi tu ya kuwasumbua mabeki wanaojifanya wajuaji
Kai ni mrefu sana futi 6 na inchi kadhaa
Halafu sio lain kama wengi wanavyodhani ,
Halafu ni mcheza rafu mzuri sana za kimya kimya ,
Hakuna beki anafurahia kucheza na Kai