Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani nasema hivi, huyo hamiss matakwimu hatakiwi kuja kuchambua soka humu.

Maana yeye ndo ana pelekea, wapinzani wetu Watu sumbue.

Usikute ni li chelsea lile [emoji855]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli ni Man Utd damu, sasa hivi unaweza mkuta kajifungia zake chooni anawacheka mpaka anakaa chini.
 
IMG_0759.jpeg
 
Na ligi EPL msahau kunusa pua zenu kwenye title , fixtures zinazokuja mtakiona cha mtema kuni , ni makonzi na mbata tu mtatembezewa mpaka msimu uishe.
Mna wolves ,spurs ,Chelsea , halafu bado mna audacity ya kuongelea ubingwa .
Mtapigika na kuchakaa sana .
Loosers Efusiiiiii
Arsenyetoz ni loosers
inakubidi upumzike sasa ujiandae na europa kesho
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] City nae katolewa kwa penalties, hasira zake zote anaenda kumalizia kwenye ligi[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole yao wale ambao wana mechi za ligi na City.
 
Arteta amekuwa kama MUNG'UNYA 😂🤣🤣

Mwanzo fresh linakuja kuharibikia mwishoni kabisa 🤣😂 na huyu kai wake ndio anatuharibu.

Kesho masheikh wenzangu woote tukutane viwanja vya biafra kutakuwa na dua maalum ya kumpiga kai na kitu kizito atuachie timu yetu, hatuwezi kukosa amani kisa jamaa mmoja mwenye miguu kama ndege john😂

Kai kabla ya kupasiwampira ni kijana, akipasiwa tu ni kibabu cha miaka 70, hajiwezi, anakimbia kama ana kibunzi makalioni...


Yote kwa yote bado tuna chama la matumaini ni marekebisho tu mpaka tutakaa sawa, ni bora arsenal ya sasa maumivu mara moja moja kuliko ile ya misimu kadhaa nyuma, unakunywa panadol kabla ya game na katikati ya game na baada ya game.🤣😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom