hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Bayern anakufa jumanne , Allianz Arena tunampigia Haram football,Kwa hiyo kuingia nusu fainali ni uhakika?
Since day one kama unakumbuka nimekuwa nikisema kama tunamkwepa city ,hakuna timu ulaya yakutusumbua
Kwanza tunacheza aina 3 za mpira ,
Porto walileta harama football tukaenda nao wanavyotaka
Mancity mechi itakuwa ndefu itaamuliwa kwa small details, kila mechi ya Arsenal na city kwasasa imekuwa inakuja na mbinu mpya ,
Vs Madrid mapema tu tupo fainal
Shida ipo hapa Madrid ataweza kuhimili msako wa mancity, last season alikula 4-0