Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Unaambiwa siku hizi wachawi sio wazee tena. Hii inatufundisha ukikosa unaanza kuwa mwanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kitu inaninyima amani kama kuwaona mashabiki wa Arsenyau wakiwa na furaha, starehe yangu kubwa ni kuyaona maArsenyau yana hasira na huzuni humu kila inapofika mwisho wa msimu[emoji16][emoji16][emoji16]