makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,864
- 106,784
Arteta amekuwa kama MUNG'UNYA 😂🤣🤣
Mwanzo fresh linakuja kuharibikia mwishoni kabisa 🤣😂 na huyu kai wake ndio anatuharibu.
Kesho masheikh wenzangu woote tukutane viwanja vya biafra kutakuwa na dua maalum ya kumpiga kai na kitu kizito atuachie timu yetu, hatuwezi kukosa amani kisa jamaa mmoja mwenye miguu kama ndege john😂
Kai kabla ya kupasiwampira ni kijana, akipasiwa tu ni kibabu cha miaka 70, hajiwezi, anakimbia kama ana kibunzi makalioni...
Yote kwa yote bado tuna chama la matumaini ni marekebisho tu mpaka tutakaa sawa, ni bora arsenal ya sasa maumivu mara moja moja kuliko ile ya misimu kadhaa nyuma, unakunywa panadol kabla ya game na katikati ya game na baada ya game.🤣😂