hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kai anacheza rafu sana ,halafu mpole sana, VVD na Konate wanamjua vzr alichowafanyaKai ananikumbusha mimi nilivyokuwa shule nilikuwa mpole sana mpaka sikuweza kufikiriwa kuhusishwa na vitendo vyovyote visivyo sawa vya wanafunzi.
Kuna siku mwalimu mmoja aliniudhi nikarivenji kwa kumuaribia mali yake flani. Baadae nikakutana nae akiwa amesikitika sana na akaanza kunieleza jinsi kuna mwanafunzi ameharibu mali yake, mimi namsikiliza tu. Akaniambia kabisa "Halafu HENRY14, namjua kabisa ni nani amefanya hivyo, na nitakachomfanya, maji ataita mma". Mimi nikampa pole pale nikamuaga nikasepa zangu.
Huwezi kudhani kama Kai ana kauhuni uwanjani.
Kai off the ball ni mzuri zaidi kuliko hata akiwa na mpira
Anafanya movement nyingi sana za kuwatoa watu mchezoni
Pia sio Abiria uwanjani ,anacheza false 9 lakini bila mpira anarudi katikati kabisa, Arsenal wakiwa na mpira ,sekunde yupo mbele ,
Wachezaji kama huyu ambao sio abiria uwanjani ngumu kuwanyima nafasi
Arsenal inavyocheza haihitaji mchezaji abiria kama kina mactominay, rashford,Bruno
Ndio maana hakuna mchezaji wa manjesta hata mmoja anayeingia hata benchi la Arsenal