Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,665
- 2,556
Bado naamini Arsenal tim kubwa msimu wa kwanza CL tumetinga robo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msijali msimu ujao kwenye phase 5 mnaenda kukutana nae Madrid, Madrid atachagua mwenyewe apaki basi atolewe kwenye michuano kistaarabu au apishane na Teta ball achezee kono la nyani[emoji23][emoji23][emoji23]