Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 627
- 1,007
Namkufuru nani!??Hapa unakufuru
Na ndio shida ilipo false hopes
Namkufuru nani!??Hapa unakufuru
Na ndio shida ilipo false hopes
hii imeenda,,✔️Nachojua Arsenal ni wasindikizaji
umeishamtafuta?Nitakutafuta baada ya mechi kuisha...wale tutakachowafanya kwny press conference Moyes atakuja kukiri kama alivyokiri kocha wa Brighton...yule Paqueta sijui na Kudus mtawasonya kesho🤠🤠🤠....hawajawahi kutusumbua kabisa wale wazee wa counter attack
alaa kumbeNi naona kinyume. Game ni rahisi mno kwetu.
alaa kumbeNi naona kinyume. Game ni rahisi mno kwetu.
Si ndio apo sasa, ila wao wanahaki ya kutetea timu zaoNyumbu Ushindi kidogo tu wanapiga makelele kila jukwaa
Ajabu hawataki sisi tutetee timu yetu![]()
Mnaendleaje hapo Hale end ???Nitakutafuta baada ya mechi kuisha...wale tutakachowafanya kwny press conference Moyes atakuja kukiri kama alivyokiri kocha wa Brighton...yule Paqueta sijui na Kudus mtawasonya kesho....hawajawahi kutusumbua kabisa wale wazee wa counter attack
Kwani ubora unapimwa kwa wakati gani? Mechi moja? Msimu mmja? Msimu uliomalizika au misimu 10+????Kitu unachoshindwa kujua ni kwamba arsenal sio bora kuliko city na liverkuku kama mnavyoaminishana humu. Kuwa kwenu juu msimu huu ni kupoteza form kwa city na liverkuku na bahati mbaya kwenu the two giants are awake now. Mnajipa false hopes kuhusu ubora ila nyie na man utd mko level moja tu sema kiasi mmeboreka ukilinganisha na misimu ya nyuma.
Hahahhaah haiwezi tokeaTomiyasu could leave this window, most likely destination Napoli. The deal will materialize if a good offer is received
umemjibu vyema sana huyo jamaa sijui hata ameongea nini yaaniKwa nafasi aliyokaa Arteta last season katika 1st position for 284 days na Trophyhakubeba ingekuwa Klopp au Guardiola kombe angebeba na season hii ni yale yale kama ya last season position ambayo anatakiwa kukaa akishinda anaikosa so nothing new kwa Arsenal ya sasa tupo na tutakumbushana kocha una miaka 5 still unajenga timu ambayo ikitaka position nzuri unakosa ni mazoea na tushazoea
Kuna sentence unasema tujadili nini kirekebishike kwani kilichotokea jana na last season refer 10 games za mwisho utofauti wake ni nini sasa?



