Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi si mshabiki wa arsenal lakini arsenal ni timu moja nzuri Sanaa ninachoona tatizo la arsenal ni mentality tu kama wakiwa na strong mentality kama wanayokuwaga nayo real Madrid basi hii timu hakuna ambaye angependa kucheza nayo.
 
Aaaah. Mambo gani tena haya Arteta na Arsenal? Nimelala vizuri nikijua nitaamka na kujikuta nimeketi zangu fresh kileleni nikiwachora kina Livakuku.
Yaani tumeshindwaje kuwapiga hawa hammers? Sitaki hata kujua. Kwa ujinga huu mimi naona tuachane na kutafuta ubingwa, tuwape Livakuku baraka zetu waupambanie wao. Tutumie muda huu kuboresha kikosi, haswa upande wa ushambuliaji. Halafu tufanye moja kati ya haya mawili:
1. Fukuzia mbali kabisa Arteta.
2. Baki na Arteta lakini yeye na timu nzima waanze sessions na wanasaikolojia washughulikie hiyo block inayowafanya washindwe kutimiza vitu simple tu kama kushinda mechi za lazima kabisa, tena dhidi ya wapinzani dhaifu kuliko Arsenal.
 
Arsenal ikipoteza mechi tu maneno ni mengi sana juu ya kocha wachezaji,nafasi ya ubingwa haipiganii yan utazani ndo timu pekee ambayo haipaswi kufungwa wala kutoa sare, hakuna timu ya aina iyo duniani

Mara hii game ilikua ni lazima kushinda hakuna timu isiyoitaji kushinda na hakuna timu inayoitaji kushindwa ila ukizidiwa mbinu lazima uadhibiwe,

Zinafufuliwa coment nyingi sana humu ndani ila kuna Comment moja ya Castr iliyokua na sababu nyingi sana juu ya kikosi chetu ba vikosi vya wapinzanu wetu ya kwamba
" Tujitaidi hadi kufika january tusizidiwe kwa gape la pointi 4-6 na waliojuu yetu kwa kua Inaonekana January ndo rasmi tutakua tunaanza ligi na sababu alizitoa ila humu siioni iyo coment ileteni basi tuijadili pia au mnatafuta baadhi baadhi tu..
 
The team themselves are regressing, hivi kwa data na facts za timu kwa kipindi kama hiki last season si tulikuwa better. Sasa ndo tumeyanyea mazima mapema kabisa.
 
Hatuko mbali kiasi icho 2 points na anaeongoza ligi, na tunamatumaini ya wachezaji kwenye maeneo muhimu yatakaua ni kama maingizo mapya, kama hatuko vizuri kama last season basi ndo maana nilikubaliana na kauli ya jamaa kua tujitaidi tusiwe mbali kwa idadi kubwa ya point na atakaekua juu,,
 
Basi Arsenal ni timu shindani. Kama unaiona haina uwezo hata hapo ilipo isingekuwepo. Tuwape heshima yao na tusubirie nin kitatokea. 19 play to go, tofauti ya point 2 na anayeongoza.

Hao unaowaona ni hatari wamefanya nin mbele ya Arsenal? Tuheshimu kazi za watu, sio kupiga porojo tu humu.

Tukutane May kufanya review ya msimu.
Kama mkuu unahis Arsenal itabeba ubingwa bas sina lolote la kukwambia... Yan hata team zngne ziwe mbovu vp Gunners hawez beba ligi watachukua hata Aston Villa sio hawa Arsenal ambao kwny pressure wanapoteana.

Maana hata ndoto ya mchana haijawah kua ivo.
 
Arsenal ikipoteza mechi tu maneno ni mengi sana juu ya kocha wachezaji,nafasi ya ubingwa haipiganii yan utazani ndo timu pekee ambayo haipaswi kufungwa wala kutoa sare, hakuna timu ya aina iyo duniani

Mara hii game ilikua ni lazima kushinda hakuna timu isiyoitaji kushinda na hakuna timu inayoitaji kushindwa ila ukizidiwa mbinu lazima uadhibiwe,

Zinafufuliwa coment nyingi sana humu ndani ila kuna Comment moja ya Castr iliyokua na sababu nyingi sana juu ya kikosi chetu ba vikosi vya wapinzanu wetu ya kwamba
" Tujitaidi hadi kufika january tusizidiwe kwa gape la pointi 4-6 na waliojuu yetu kwa kua Inaonekana January ndo rasmi tutakua tunaanza ligi na sababu alizitoa ila humu siioni iyo coment ileteni basi tuijadili pia au mnatafuta baadhi baadhi tu..
Mkuu we usichokielewa ni nini?

Shida sio arsenal kufungwa, shida ni maneno ya baadhi ya misukule humu wanatuaminisha arsenal ni timu isiyogusika.

Sasa ikitokea mmebondwa ebana eeh, lazima tujeee.

Piga nyanii izooooo.
 
Picha za matukio ya kikatili yaliyotendeka jana.
NB KAMA HAUNA USTAHIMILIFU, USIFUNGUE
westham-20231229-0007.jpg
westham-20231229-0006.jpg
westham-20231229-0005.jpg
westham-20231229-0004.jpg
433-20231229-0002.jpg
 
Arsenal ikipoteza mechi tu maneno ni mengi sana juu ya kocha wachezaji,nafasi ya ubingwa haipiganii yan utazani ndo timu pekee ambayo haipaswi kufungwa wala kutoa sare, hakuna timu ya aina iyo duniani

Mara hii game ilikua ni lazima kushinda hakuna timu isiyoitaji kushinda na hakuna timu inayoitaji kushindwa ila ukizidiwa mbinu lazima uadhibiwe,

Zinafufuliwa coment nyingi sana humu ndani ila kuna Comment moja ya Castr iliyokua na sababu nyingi sana juu ya kikosi chetu ba vikosi vya wapinzanu wetu ya kwamba
" Tujitaidi hadi kufika january tusizidiwe kwa gape la pointi 4-6 na waliojuu yetu kwa kua Inaonekana January ndo rasmi tutakua tunaanza ligi na sababu alizitoa ila humu siioni iyo coment ileteni basi tuijadili pia au mnatafuta baadhi baadhi tu..
Sahivi arsenal inagombea nini? kama bado haijaanza rasmi kugombea ubingwa?
 
Back
Top Bottom