Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Snapinsta.app_414227947_279466014750047_1084706104318790238_n_1080.jpg
 
Idea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.

Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Nani huyo alisema hivyo? Mimi naona tumepoteza points zaidi ya 15. Nilitaka mpaka hapa tuwe tumewazidi maboya wanaotufukuzia (Livakuku, mamacita) kama points 10-12 😄😄😄
 
Nani huyo alisema hivyo? Mimi naona tumepoteza points zaidi ya 15. Nilitaka mpaka hapa tuwe tumewazidi maboya wanaotufukuzia (Livakuku, mamacita) kama points 10-12
Kiungo na forward zetu bado hazijaclick vizuri

Muhimu tuendelee kumaintain nafasi 1-2 hadi February, kurejea kwa Partey na Timber kutatuboost kwenye title charge
 
Tumewafundisha namna ya kumfunga Luton na Villa na pia tumewaweka walau nafasi ya 1 na ya 2 katika msimamo wa ligi kwa vipindi tofauti tofauti,lakini bado mnatuita nyumba!
Huwa nawashangaa sana Hopers mnavyomuona 10Hag kilaza wakati mfupa unaomshinda tactician ARTETA yeye anauvunja kwa kutumia wachezaji wa academy yetu.

Yaani tactics zenu zimeiweka Arsenal kwenye top spot afu nyie wenye tactics mpo huko mlipo, interesting…

Usichoelewa ni kuwa hizi timu ndogo zikikutana na manjesta zinamuona ni mwenzao kiuwezo hivyo zinafunguka kutafuta matokeo ndio maana anabahatisha kuzifunga kirahisi ila wakikutana na Arsenal wanakaa wachezaji 9 nyuma ya mpira na wakijaribu kupishana basi dhahma itawakuta cc: mkorea
 
Kuna haja ya Arteta kutengeneza mfumo wa kumfanya Martinelli asogee karibu zaidi na goli ili aweze kushootView attachment 2855804
Ukimsogeza karibu kwa zinchenko kilio😂😂...
Kazi ya ukocha n pasua kichwa aisee.

Akifanya hivyo na jinsi asenal ilivyo kwa sasa n zoezi gumu maana kuna namba pale zikipata tatizo tu n kilio,maana zina mchezaji mmoja bora mmoja na mshindan wa namba hiyo anatoakitu bora kwenye mfumo tofauti na mfumo wa mwenzake.

Hii kitu arteta akizembea tu january hii hatokuja kusahau 😂😂😂
 
Back
Top Bottom