Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnaendleaje hapo Hale end ???
Ilibidi nikae pembeni kidogo na hili jukwaa....Yale matokeo yameniumiza kwakwli....yule Moyes katengeneza kikundi cha majangiri🤠🤠🤠....wakikutangulia wale jamaa kazi ipo....Jesus kazingua...Saka kazingua... Martinelli form ime drop...tunahitaji kufanya basic staffs kwanza kabla ya kufanya mambo makubwa....kama hatuwezi kufunga basi tusifungwe....Zinchenko nilisema hapa yule jamaa akikutana na watukutu🤠🤠🤠....akaamua atuchomeshe na goli la kwanza kabisa....halafu lile goli la kwanza sijalielewa hivi ila ndo hvyo tumedundwa....tuangalie mechi zngne 19 zilizobaki
 
Jukwaa lilichafukwa kwa siku kadhaa.

Wakuu In and Out Za January zinaendaje wakuu.
 
LEICESTER wanachukua Ubingwa walijikuta Nafasi ambayo hawakuitegemea, Ukiangalia Mzunguko wa Pili ilikuwa ni suala la Mwalimu zaidi. ARTETA Mwalimu mzuri lakini bado ni Mwanafunzi aliye kazini, Hawezi jua Kupambana na Pressure kwake Binafsi na kwa Wachezaji wake. {Na ana "EGO" kuamini anajua kumbe bado sana}

Game Nyingi kwa sasa Timu zikicheza na Arsenal zimeamua kuiheshimu na zinawadhuru sana kupitia Utumiaji nafasi, Jana unamaliza na Nafasi za Wazi zaidi ya 5 bila Goli halafu unawaza Ubingwa! Haaland ama Salah washatoka hiyo hatua, Ukitaka Ubingwa nenda nao Jino kwa Jino, Kuwa na ST/CF uhakika ambao kuwapata January ni Bahati nasibu. KDB akirudi kwa CITY ni kama Sajili Mpya.

ARSENAL imekuwa inafungwa aina ya Magoli yanafanana sana karibuni, Imekuwa kama Mbinu ya walimu wa Timu nyingine. Mnafungwa sana Mipira ya Kutenga, Kona, Faulo, kitu ambacho Mlikuwa hamna kabisa msimu ulopita!
Kocha bwege.
 
Jukwaa lilichafukwa kwa siku kadhaa.

Wakuu In and Out Za January zinaendaje wakuu.
Walimwengu Wana chuki sana na sisi...Man City mechi kadhaa alizingua ila hukuona mashambulizi mengi🤠🤠🤠...Ila sisi Sasa aaaahhh...watu wamejaza chuki vifuani mwsho....tusipopata kombe msimu huu mitusi itakuwa mingi sana hmu
 
Ilibidi nikae pembeni kidogo na hili jukwaa....Yale matokeo yameniumiza kwakwli....yule Moyes katengeneza kikundi cha majangiri....wakikutangulia wale jamaa kazi ipo....Jesus kazingua...Saka kazingua... Martinelli form ime drop...tunahitaji kufanya basic staffs kwanza kabla ya kufanya mambo makubwa....kama hatuwezi kufunga basi tusifungwe....Zinchenko nilisema hapa yule jamaa akikutana na watukutu....akaamua atuchomeshe na goli la kwanza kabisa....halafu lile goli la kwanza sijalielewa hivi ila ndo hvyo tumedundwa....tuangalie mechi zngne 19 zilizobaki

Goli la kwanza la westham , limeonyesha udhaifu mwingine wa VAR
 
Goli la kwanza la westham , limeonyesha udhaifu mwingine wa VAR
Arsenal wanatakiwa wawe na mbinu mbadala kwa hzi mechi 19 zilizobaki...tumeshaona waamuzi wanaokaa kwny VAR Wana changamoto kwny mechi zetu...vs Nyukesto...vs Villa...na hapa vs West Ham...Sasa ni kufanya vitu basics kwa usahihi...Zinchenko kuna mechi hatakiwi kuanza kabisa...hopefully Arteta atajifunza hili maana lile goli kosa limeanzia kwake...pili Martinelli anatakiwa aanze kutokea benchi maana ni kama uchovu umeshamvagaa...tatu tunahitaji striker this window....nne tunahitaji Midfielder....napata shaka ikitokea Rice ameumia aisee tutarudi kulekule
 
KUN AGUERO ndo Msimu alikuwa anaingia toka zaidi kwenye timu sababu ya Majeraha. CITY ina Mtaji wa Kikosi kipana, ARSENAL akiumia Jesus kunakuwa na "EXPERIMENT" nyingi za CF/ST.

ARSENAL inahitaji zaidi Ukomavu wa Mwalimu zaidi ya Players! Klopp alishindwa enda jino kwa jino na PEP baada ya Majeraha ya VVD na MANE. ARSENAL ya Leo akiumia kati ya RICE ama SALIBA hali inakuwa tofauti sana.

Arsenal ni Ile basi tu ila walikuwa wanahitaji winga Mtengenezaji zaidi na Speedster kwa wakati Mmoja. Mudryk angewafaaga sana. {Kina Martinelli wamerudi kwenye "Default"}
Hii ni game moja tu inakuaminisha Martinelli karudi default settings?

If no, notice kwamba Martinelli is not the same tangu Kai aje. Ujio wa Kai ni dilemma kwa team mates kwakua Martinelli upande wake hauzalishi chances kama alivyokuepo Xhaka na hapo hapo hauchezi constantly kwa kuzingatia strength ya Kai.

Martinelli bado anachukua namba klabu yoyote ya juu duniani
 
Hii ni game moja tu inakuaminisha Martinelli karudi default settings?

If no, notice kwamba Martinelli is not the same tangu Kai aje. Ujio wa Kai ni dilemma kwa team mates kwakua Martinelli upande wake hauzalishi chances kama alivyokuepo Xhaka na hapo hapo hauchezi constantly kwa kuzingatia strength ya Kai.

Martinelli bado anachukua namba klabu yoyote ya juu duniani
Ntakua wa mwisho kukuamin mkuu martineli yupo chin ya kiwango kwa sasa sio game hii tu ...naona confidence yake ipo low mikimbio yake haina positive impact
 
Ntakua wa mwisho kukuamin mkuu martineli yupo chin ya kiwango kwa sasa sio game hii tu ...naona confidence yake ipo low mikimbio yake haina positive impact
Zamani alikua akipata mpira Xhaka anakuepo pembeni.

Sasa hivi akipata mpira nani anakua pembeni?
 
Back
Top Bottom