Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naitunza hii comment, sisi tunapenda watu wenye mihemko kama wewe, na kazi yetu huwa kuwakumbusha ujuha wenu.
Itunze vizuri.
Msimu uliopita kulikuwa na progress kiasi kwamba nilianza kuamini timu inaenda mahali pazuri only tukarudi tulikotoka kwenye michezo nane ya mwisho.

Tangu msimu uliopita uishe nikawa nimeshaelewa arteta ni average coach ambaye hawezi kufika popote. Hana mentality ya ubingwa na hana mbinu za kupigania makombe makubwa.

He must be fired immediately, Arsenal yake ilifikia peak last year, sasa hivi inashuka tu.
 
Labyrinth kile ni kichwa nakikubali kinajua sana football, tulishawaambia humu hio homosexual football bila ya mentality ya makombe haitawasaidia kitu, nyinyi na Brighton hamna tofauti wote ni mid table team.
Ni wanafki kama nyie ndio mnamuingiza mkenge Labyrinth. Mnamjaza bichwa halafu anaanza kuleta habari za mijusi milia kuwa bora humu. Matokeo yake ni kelele zake huwa hazidumu humu na anajipigisha ban.

Halafu "homosexual football" ndiyo kitu gani?
 
Arsenal’s 1-1 draw with Liverpool at Anfield on Saturday was the MOST-WATCHED Premier League match in USA history, amassing 1.96m viewers across NBC platforms, surpassing the previous high of Arsenal’s 3-2 win over Manchester United in January 2023 (1.92m viewers). [@Lu_Class_]
 
Arsenal ni kubwa mnoo, nakumbuka msimu uliopita pia mechi yetu dhidi ya City tuliyopoteza 3-1 at Emirates ilishikilia rekodi ya dunia ambayo pia ilivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na mechi yetu dhidi ya Man utd tuliyopoteza 3-1 pale OT. We're a very Big big club, dunia nzima inatupenda, inafuatilia mechi zetu, achaneni na wapiga mboyoyo wa humu, we're fucking Big.

Arsenal ni kubwa hivyo sishangai kuona wachambuzi na pundits nzala ni wengi tunapopeteza mchezo, timu yako ni ndogo. You're fucking small club, nobody knows you, ndio maana ukifungwa hakuna anayeshituka, huna tag, huna attention. Coyg.
 
Kwa nafasi aliyokaa Arteta last season katika 1st position for 284 days na Trophy hakubeba ingekuwa Klopp au Guardiola kombe angebeba na season hii ni yale yale kama ya last season position ambayo anatakiwa kukaa akishinda anaikosa so nothing new kwa Arsenal ya sasa tupo na tutakumbushana kocha una miaka 5 still unajenga timu ambayo ikitaka position nzuri unakosa ni mazoea na tushazoea

Kuna sentence unasema tujadili nini kirekebishike kwani kilichotokea jana na last season refer 10 games za mwisho utofauti wake ni nini sasa?
Sio kweli kwamba Arteta ana miaka 5/misimu 5 bali ana misimu 4 ikiwa misimu 3 ndo iliyokamilika. Alichukua timu musimu wa 2019/2020 katikati mwa ligi yaan mwezi wa 12. Musimu wake wa kwanza ukiwa full ni 2020/2021. 2021/2022 ni kama aliutumia kufanya maboresho na kuutafuta muundo wa timu na 2022/2023 ndo timu imeanza kuwa kwenye ambao tunaona leo.

Huyu pep unaemsema alichukua Man City ikiwa kwenye form na ikiwa na top class players na kuna muda aliongoza ligi kwa miez kadhaa lkn hiyo haikutosha yeye kuchukua ubingwa kwa musimu huo sawa sawa na liver ambae pia ilimchukua zaidi ya misimu 4 kuchukua ubingwa pamoja na ubora wake. Lkn hapa Arsenal ambayo ni msimu jana tu kaanza kurudi kwenye form ila kelele kibao na comparison za kutosha
 
Watu wanapenda kusema ana miaka 5 kwa sababu inawafanya wamuone wa hovyo zaidi kuliko uhalisia. Mimi najulikana kuwa #Artetaout na kutomkubali kama wengine hivyo inakuwa rahisi kwangu kumsupport pale anapofanya vema na kungeuka pale anapozingua. Ila sipendi kumzushia mambo na kumfanya aonekane dhaifu kuliko alivyo, zaidi ya kumuona kama siyo mzuri kama tunavyomkuza. Pia sijui ni nani aliyeko sokoni ambaye ni bora kuliko Arteta so namsupport sana tu.
 
Huwez tegemea mashabiki wa timu wote waseme timu yao ni mbovu, wapo mashabiki wa aina mbili mbona wapo pia mashabik wa arsenal wenye mtazamo tofauti na hao unaowasema, kwaiyo maneno ni kawaida kwenye football kutamba na kutambiwa iyo ipo kabisa mzee
Sa kama unajua hilo usishangae why tunajaa humu kutema nyongo.

Haohao wachache wenye hayo maneno ndo tunawataka, simple.
 
Mkuu computerarsenal ni mtu ambae amenyooka ndio maana hata mashabiki wenzake wa Arsenyo hua wanamuona kama msaliti.
Huyu jamaa sio wale bendera hufata upepo kila anachosema Masingeli na chawa wake basi na wao lazima wasapoti, computerarsenal timu ikifanya vizuri lazima asifie na ikizingua atakosoa, huyu jamaa ni mtu huru ambae hakubali akili yake kushikiliwa na watu ambao humu wanajiona wao ndio wana hati miliki ya timu.
Yan Jamaa ni Bendera fata upepo kabisa . hajawahi kuongea jambo positive kabisa kuhusu timu
 
Yani kuna watu hawataki kabisa arsenal itetewe na mashabiki zakee

Kila mtu na mtazamo wake, binafsi hutokuta naikandia team yangu pendwa.

Na Arteta na mkubali vibaya mno

Mchizi angekua mungu ninge muabudu.
Nyumbu Ushindi kidogo tu wanapiga makelele kila jukwaa
Ajabu hawataki sisi tutetee timu yetu
 
Back
Top Bottom