Yeah, game umeicheki?
Yule jamaa mshamba sana...watu tulishafanya analysis ya kile kikundi chake tukaona aina ya uchezaji wao ni wa kufanya vurugu tu sio kutembeza bolu akawa anatutishia na kina sijui Wilson sijui Gordon...haya kiko wapi










Weka mbali na watotoOctopus partey is backView attachment 2853830
Kama Klopp alivyosindikiza Liverpool from 15/16 to 18/19, yaani 4 years, then 19/20 akabeba ndoo. Basi na sisi ndo hivyo hivyo. Kaa kwa kutuliaNachojua Arsenal ni wasindikizaji
Amekosa chances 2. Ameshindwa kutoa assist mara 2.Nimeicheki man, ila nakubali huenda mimi sio mzuri sana kwenye technical issues.


Kwa hiyo aseno yako hiyo ni bora kuliko Villa? Kijana jiangalie, angalia na upana wa kikosi cha Villa.Huyu ndiye Emery ninayemjua , tuliwahi hitaji points 3 katika michezo mitano yaani points 15 ,akakosa zote Tena bila kuwepo timu za big 6
Juzi katakiwa kushinda akae kileleni kashindwa ,Leo anakandwa na man u ,had half time alikuwa anaongoza 2-0
Hajawahi ku handle pressure
Record yake kwenye mbio ndefu ni mbaya sana akifika hatua za pressure
Anacheza mpira wakawaida sana ,
Huwa nacheka sana wanaodai Emery hakupewa muda
Kwa huu mpira anaocheza pale Astonvilla ,huo huo mpira ulete Arsenal, lazima afukuzwe
Upo nafasi ya ngapi wewe kengeKwa hiyo aseno yako hiyo ni bora kuliko Villa? Kijana jiangalie, angalia na upana wa kikosi cha Villa.
Msimu uliopita tu Arteta wako alishindwa mbio mwishoni mwa msimu na akakosa makombe yooote, leo unamlaumu Emery?
ARV zimeisha nguvu.Upo nafasi ya ngapi wewe kenge
Unaoneka Leo humu
Ndo maana huwa tunataombea yawe yanadundwa....fluke ya jana tyri yanakuja kufanya vurugu hmu🤠🤠🤠...ngoja niangalie ratiba Yao nione ni lini kuna uhakika wa wao kudundwa tenaUpo nafasi ya ngapi wewe kenge
Unaoneka Leo humu
Anataka na yy arudi January sio🤠🤠....hatumhitaji kwa Sasa mpk mwezi wa 3 ndo tutakuwa na kazi naye...