mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,225
Waliosema bado hatujaanza ligi nimeanza kuwaelewaAnataka na yy arudi January sio....hatumhitaji kwa Sasa mpk mwezi wa 3 ndo tutakuwa na kazi naye...
Alafu usisahau Kuna Smith Rowe na Nelson
Waliosema bado hatujaanza ligi nimeanza kuwaelewaAnataka na yy arudi January sio....hatumhitaji kwa Sasa mpk mwezi wa 3 ndo tutakuwa na kazi naye...
NaamWaliosema bado hatujaanza ligi nimeanza kuwaelewa
Alafu usisahau Kuna Smith Rowe na Nelson
Nyie kondoo endeleeni kijidanganya.Idea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.
Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Hivi hawaogop wakiona hizi picture
Hongereni jana mmepambana Villa kumfunga sio kitotoTumewafundisha namna ya kumfunga Luton na Villa na pia tumewaweka walau nafasi ya 1 na ya 2 katika msimamo wa ligi kwa vipindi tofauti tofauti,lakini bado mnatuita nyumba!
Huwa nawashangaa sana Hopers mnavyomuona 10Hag kilaza wakati mfupa unaomshinda tactician ARTETA yeye anauvunja kwa kutumia wachezaji wa academy yetu.
Uko serious mkuu kabisa🤠🤠🤠....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfunikoHongereni jana mmepambana Villa kumfunga sio kitoto
Huwa nasikitika sana mkiwa mnqongea vtu kama hivi...yaani mna hali mbaya halafu kubahatisha mlikokufanya ndo mnakuja kuvimba hmu....wacha tutafute ratiba yenu tuone mechi tatu zijazo mnacheza na nani Ili tuwaambie kabisa mechi gani mnabutuliwa tenaTumewafundisha namna ya kumfunga Luton na Villa na pia tumewaweka walau nafasi ya 1 na ya 2 katika msimamo wa ligi kwa vipindi tofauti tofauti,lakini bado mnatuita nyumba!
Huwa nawashangaa sana Hopers mnavyomuona 10Hag kilaza wakati mfupa unaomshinda tactician ARTETA yeye anauvunja kwa kutumia wachezaji wa academy yetu.
Wanasaka furaha maana wapo hoiHuwa nasikitika sana mkiwa mnqongea vtu kama hivi...yaani mna hali mbaya halafu kubahatisha mlikokufanya ndo mnakuja kuvimba hmu....wacha tutafute ratiba yenu tuone mechi tatu zijazo mnacheza na nani Ili tuwaambie kabisa mechi gani mnabutuliwa tena
Umeongea ukweli kabisaUko serious mkuu kabisa....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfuniko
Ila Arsenal bana hampendi kupitwa,kwamba sie tumebahatisha kumpiga Villa gongo 3! Na pia tumekutana pipa na mfuniko wakati Vila alikuwa aongoze ligi kabla hatujamzuia sisi!Uko serious mkuu kabisa🤠🤠🤠....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfuniko
Tukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.Wanasaka furaha maana wapo hoi
Ngoja tuanze kuwapelekea moto jukwaan kwao
Hiyo kazi naianza week hii
Tukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.

nyie jamaa mnaongea sanaI got uIdea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.
Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Nyumbu na Kenge hawapendi kusikia wala kuonaHivi hawaogop wakiona hizi picture