Sasa nyie mnatokeaga timu ikifanya vibaya,sisi tunaangalia growth ya timu,unazungumza timu kukaa kileleni muda mrefu kama failure ya season,mbona huzungumziii kama success ya season ? timu imetoka kutoka nafasi ya tano mpaka kukaa kileleni muda mrefu hivyo wewe haushangai ? timu ilikuwa na maono ya kupambania nafasi ya kucheza klabu bingwa mpaka kwenda kuwa title contender wewe haushangai ? ziko sababu nyingi zilizopelekea kukosa lile taji ambazo ziko nje ya uwezo wakocha,ikiwemo kutojiandaa kuchukua taji,lakin mwaka jana nimafanikio makubwa sana.kuhusu miaka ambayo amekaa arteta arsenal kama unakili utaanza kumjudge arteta baada ya kuanza kupewa pesa za usajli serious msimu wake wa tatu na wanne,na toka aanze kupewa pesa za usajili kila msimu amepanda viwango toka nafasi ya nane mpaka ya tano mpaka ya pil.kile alichokifanya arteta hata guadiola hajawai kukipitia.
Guadiola alipokwenda barcelo alikuta msingi mzuri sana wa rijikard,amekuta tayari timu inamastaa kibao hakuwa na cha kutengeneza ni mifumo tu.kaenda bayern hivyo hivyo,kaja man city kakuta timu soon imetoka kutwaa ubingwa,walimchkua ili awape taji la ulaya,ila imewachukua miaka nane kuweza kutwaa taji la ulaya,so guadiola hajapitia kabisa mapito ya arteta,arteta anafanya kazi vizuri zaidi,na kwa taarifa yako arsenal wakisema wamuache arteta madrid na barcelona wanamchukua fasta
Msimu huu tumejiandaa vizuri zaidi kwa maana ya upana wa kikosi,na tumepata wachezaji bora zaidi,ndio tuepoteza point lakin naamini kwa upana huu wa kikosi tutaenda mpaka siku ya mwisho ya kugombania ubingwa