Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 738
- 2,979
Hakuna team imechukua premiership bila kuwa na clinical finisher. Anzia Chelsea enzi za Diego costa. Njoo Liverpool wakati wanachukua ubingwa Mane, Bobby na Mwamedi wote walikua clinical.
Man city kabla ya Haaland walichukua ubingwa hili kwa sehemu kubwa ni down to Pep masterpiece. Inter Milan? Lautaro, Napoli? Victor Osimhen, Bayern walivyompoteza Lewando wakaanza ku struggle...ubingwa wa ligi kwao sio guaranteed tena kama before..
Clinical finishers, hawa ndo wanakupa ubingwa. Sasa Nketiah na Gabiwao ni good squad players tu. Not out and out frontmen.
Solve hilo and Arsenal wata win league. Hampo mbali na ubingwa kama wengi wanavyo overreact hapa qummmmmmamaqe

nakaataa NAKATAAA NAKATAA atacheza sext football
️ but kupata final results kama Guardiola hawezi yupo msimu wa 4 au 5 in a row but Arsenal ni ile ile refer alikaa 284 days number 1 na akashindwa beba EPL trophy