Humu mbona zimetawala habari za transfers vipi kwani january tayarii ?
Wakati june inaingia kwenye thread ya man city au habari kwa ujumla ilikuwa jinsi gani grealish analewa siku 3 mfululizo kwa furaha ya ubingwa wa EPL, FA CUP na UEFA wala kulikua hakuna tetesi sijuii za usajili kwenye thread yao ni vile halland anamwagia champagne bernado silva .
Huku kwenye thread ya False hopers ilikua ni tetesi za usajili sijuiii rice mara kai havertz mara raya 24/7 , muda wa kushangilia ubingwa zilikua ni tetesi za usajili muda wa kutafuta ubingwa bado tu mpo na tetesi za usajili mara toney mara zubimendi mara douglas luiz


.
Rice ,raya, Jorginho, timber na kubwa la maadui kai havertz mmewapata lakini bado mpo na tetesi za usajili utafikiri tushafika january , ina maana kikosi bado hakitoshi tu false hopers.
Tuko bize na kutafuta ubingwa nyie mpo bize na usajili kama hamuamini rudi june angalia picha za page za timu nyingine then uangalie na arsenal au thread za humu ndani tu
