BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 467
- 937
Flano unamsimkia Masingeli?Anawataka Madrid au Bayern hata leo yani.Na Mimi ndio nawataka hao
Mark my words usiishi kwa mazoea
Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Flano unamsimkia Masingeli?Anawataka Madrid au Bayern hata leo yani.Na Mimi ndio nawataka hao
Mark my words usiishi kwa mazoea
Hakuna timu naitaman Kama Madrid ,
Physicality na pasi zenye macho....England sasahv watu nyoronyoro watasumbuka sana...yle bwana mdogo ni mzuri sana kwny hzo aspects....Zubimendi is more of Busquets...anajua kupora mpira pasi na kusababisha faulo na pia anapiga pasi zenye macho...lakini ukiniuliza mm ntakwambia Zubimendi tyri profile yake tunaye Declan Rice...so we need Fofana the most...tutakuwa na kiungo chenye nguvu na kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mechi hata na hzi timu kubwaHuyo fofana anaupiga mwingi au yeye ana nguvu?
👍I got u![]()
Mwsho wa msimu utarudi kuja kushangilia kombe tutakalokuwa tumebeba na tutakukaribisha kijana wetu🤠🤠🤠...kile kiuzi cha Nyukesto mtakifunga na kupoteana Kila mtu arudi kwny asili yake...na sisi tutakukaribisha maana ONCE A GUNNER ALWAYS A GUNNERMpira haukutoka hapo tumekubaliana
Offside hamna
Foul hamna
Et bruno hakutakiw kucheza mpaka dk90 ila kai haivertz alipaswa kumaliza dk 90 sio? Basi sawa tufanye mmepata draw ya kusadikika .
Karudie tena kuangalia uchambuzi wa lile goli kwa gary neville na wachambuzi wengine hakuna clear vision ya gordon kuwa offside wala gabriel kuchezewa foul , wapi PGMOL wameomba msamaha kama mlivyojiaminisha humu , Liverpool tuliona na mwaka jana kwa brentford tuliona .
Tatizo mlikuwa na false hope moyoni la unbeaten , now mna false hope la fainali UEFA.ikifika february haya yote yataonekana wazi kuwa ni false hopes . Then mtaingia kwenye false hope ya transfers
.
Labda kama sifatilii mpira
Uzuri sidanganywi, Madrid huyu aliyetolewa ulimi nje na Sevilla ,
Kitu Cha kwanza ambacho naamini Madrid hawez ku control mechi mbele ya Arsenal
Same to barcelona
Nisiongee Sana ,tutakutana nao ,naomba Sana nikutane na Madrid
Hii Arsenal ya Sasa hasa msimu huu ukipata On target unafurahi ,
Kuna vitu vichache tu vya kufix
Hapo tunawakosa mafundi Kama
Partey Ødegaard Rowe Timber
Uzuri February watakuwa fit ,
Kenge Gang. Humo hawakosekani Allypipi, Ollachuga, Mkohoti, Labyrinth (Huyu wa mwisho yupi huko kwa muda tu, tukibeba ubingwa atarudi)


yaani unawaza ubingwa kwa Arsenal, hivi kweli kuna watu hii dunia wanaamini arsenal atabeba ubingwa kweli? 


Mwsho wa msimu utarudi kuja kushangilia kombe tutakalokuwa tumebeba na tutakukaribisha kijana wetu...kile kiuzi cha Nyukesto mtakifunga na kupoteana Kila mtu arudi kwny asili yake...na sisi tutakukaribisha maana ONCE A GUNNER ALWAYS A GUNNER
Furahi tu kwamba recently tunaongea kuhusu kupambania ubingwa na hata kuuchukua. Juzi juzi tu hapa hata kuingia europa ilikuwa shida. wacha tuenjoy na jiunge nasi tupooze kooKombe gani mkuu mbona unafanya ivi ? tafadhali acha kuwa na false hope ya namna hii nyinyi this year ni kama last year hamtachukua kombe lolote na wala hamtafika fainali yoyote ile.
Ni swala la muda tu kama ilivyokuwa unasubiri maumivu ya Newcastle yaani tumewavuruga sana mpaka saivi zikilitwa takwimu za previous matches mnatolea za home tu maana mnajua away mlikula chuma kimoja cha kijana wetu ollie gordon .
Furahi tu kwamba recently tunaongea kuhusu kupambania ubingwa na hata kuuchukua. Juzi juzi tu hapa hata kuingia europa ilikuwa shida. wacha tuenjoy na jiunge nasi tupooze koo


ndo furaha pekee mtakayokuwa nayo msimu mzima ndo kitu mnachoweza kujitengenezea false hope (sifa kubwa ya false hope lazima iletee furaha lakini at the end ni huzuni , ugomvi , laiti na inge zinakuwa nyingi) .
.
. 

Hamis unavuka mipaka mzee, kweli Madrid hawezi ku control mchezo mbele yetu ndani ya UCL?Labda kama sifatilii mpira
Uzuri sidanganywi, Madrid huyu aliyetolewa ulimi nje na Sevilla ,
Kitu Cha kwanza ambacho naamini Madrid hawez ku control mechi mbele ya Arsenal
Same to barcelona
Nisiongee Sana ,tutakutana nao ,naomba Sana nikutane na Madrid
Hii Arsenal ya Sasa hasa msimu huu ukipata On target unafurahi ,
Kuna vitu vichache tu vya kufix
Hapo tunawakosa mafundi Kama
Partey Ødegaard Rowe Timber
Uzuri February watakuwa fit ,
Zubimendi FC bado mnawalilia PGMOL na VAR?
.Watoto wadogo tunawavesha kangaZubimendi FC bado mnawalilia PGMOL na VAR?
Sitakiwi kukukumbusha kitakachotokea.Mpaka hapa kama kuna false hoper bado anabisha lile si goal basi tutawapa point 1 .
Halafu incident ya kwanza kabisa ni ya kai havertz so technically kama angepewa red card game ingekuwa imeishaa pale pale na hata hio incident ya bruno isingetokea .
Ila tuliwapigia pira la kibabe sana false hopers yaani baada ya havetz kucheza ile rafu tukaanza kupiga pira la kiume haswa , sasa watoto wadogo wakina martineli na saka wakaingia mafichoni mwa trippier na livarmento.
Eddie howe kashasema lile ndo pira lililotakiwa kupigwa na ana furaha tele kwa pira lile.
Arteta yeye kabaki analalamika tena inabidi baada ya hii review akakae jukwaani kule wamle ban hata ya match 2 au mnasemaje false hopers review ndo hio imetoka au bado mnabisha tu.
njama za wazi wazi dhidi yetu
Sitakiwi kukukumbusha kitakachotokea.
Nimeshabikia mpira kwa muda mkubwa kiasi najua classic signs za timu inayoenda omega, yenye homa ya vipindi na mid table team.
Nilivyosema nyukesto ni westham yenye pesa I meant it


bora kuwa na homa ya vipindi kuliko kuwa na false hopes . Unaposema midtable team una maana gani mzee maana navyojua huko mid table hatupo toka mwaka jana na mpaka sasa. Luiz na De jongOkey
Frank de jong
Zubimendi
Tchoumeni
Douglas Luiz
2 of them