Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

UCL tutaanza rasmi robo Fainal kuitolea macho huku kwingine tunafanya mazoezi tu
20231109_064652.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumuwekea Martinelli beki mmoja ni kama kumuwekea Mbappe beki mmoja, kwa level waliyofikia Saka na Martinelli huwa hawakabwi na mchezaji mmoja, huwa wawili na wengine huweka hadi watatu, hata Newcastle wanafanya hivyo.
 
Unatucheka United kwenye jukwaa la Arsenyani?
Twende Unyumbuni ukatusimange vizuri.
Huwa mnakuja humu kutusagia kunguni...tunawakaribisha mje vijana wetu tuongee hmu...hili ndo jukwaa kuu kwa watu wa timu zte....unabisha ngoja tembo akae juu ya tawi pale utaona zengwe litakavyozidi kutoka pande zote
 
Kama umeamka salama njo tuwacheke Manchester United. View attachment 2808406

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu dogo aliyepiga msumari wa mwisho ni mzuri sana haswa akiwa na ball, kwa umri wake 17, kama anapata kocha mzuri, atakuja kuwa player zuri zaidi, kasumbufu saana, kanatokea kulia na mguu wake wa kushoto na kanapenda kupiga.
 
Huwa mnakuja humu kutusagia kunguni...tunawakaribisha mje vijana wetu tuongee hmu...hili ndo jukwaa kuu kwa watu wa timu zte....unabisha ngoja tembo akae juu ya tawi pale utaona zengwe litakavyozidi kutoka pande zote
Swala la tembo kukaa pale juu msimu huu msahau kabisa, ile ngekekewa mliyoipata msimu ulioisha ya kukaa kileleni siku 258 halafu mkamaliza ligi mikono mitupu haijirudii tena.
A golden chances never come twice.
Mwambie Masingeli huko unyumbuni watu tunamsubiri kwa hamu akatupee yale maneno yake ya faraja.
 
Kumuwekea Martinelli beki mmoja ni kama kumuwekea Mbappe beki mmoja, kwa level waliyofikia Saka na Martinelli huwa hawakabwi na mchezaji mmoja, huwa wawili na wengine huweka hadi watatu, hata Newcastle wanafanya hivyo.

Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.

Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutan’s na wanaume matusi yanakuwa mengi .
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
 
Asenali msimu huu pale juu hapamstahili kwa sasa 😆😆😆 labda apate watu wa uhakika kwenye eneo la ushambuliaji ....

Muda si mchache kuna weza kukawa na ligi kuu tatu ndani ya ligi moja.

1.Manisitiii akawa anajifukuza peke yake pale juu.

2.Ligi ya kwenda michuano ya yuefa na naona ndio itakayokuwa na asenali,tot,liver,man u,nyukasto,chelsiii,aston vila,braiton,west ham kidogo fulham,brentford na wolves ila hao wote wataparuana vibaya sana yaani piga nikupige😆😆😆

3.Kubakia ligi kuu huko kwakina burnley,luton,shefidi n.k
 
Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.

Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutan’s na wanaume matusi yanakuwa mengi .
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
Kaka sevila anatafuta nafasi ya yuropa 😆😆😆 yule asenali wasijisifu sanaaaaa kwa ushindi ule,

Arteta, 16 bora asipobadilika sidhani kama atatoboa kuna uwezekano mkubwa akatema bungo😆😆😆 na akipenya hapo robo fainali kituo bayern/barcelona/real madrid/atletico 😆😆😆
 
Kumuwekea Martinelli beki mmoja ni kama kumuwekea Mbappe beki mmoja, kwa level waliyofikia Saka na Martinelli huwa hawakabwi na mchezaji mmoja, huwa wawili na wengine huweka hadi watatu, hata Newcastle wanafanya hivyo.
We kondoo acha kuongopea Uma.
FbwgvNuXkAAs_g6.jpeg
 
arteta kaitengeneza timu ambayo kuifunga kwa kufanya build up kuanzia nyuma ni ngumu.

timu nyingi zitakazocheza aina hiyo ya mpira ;kupata matokeo mbele ya arsenal haitakuwa kazi rahisi.

arsenal itafungwa na timu zinazoshambulia kwa haraka na bila kupanga kwanza mashambulizi kwa kuanzia nyuma hususani pale arsenal itapopoteza mpira.
 
Hivi kumbe livarmento ni wachezaji 2 pale Newcastle au huyo martineli ha kuonekana kabisa huyo saka ndo kabisa.

Mnacheza na vibonde mnashangilia kweli kweli ngoja Moutan’s na wanaume matusi yanakuwa mengi .
Leo husikiii Jorginho akilalamikiwa FALSE HOPERS.
Hawa kondoo wazoee, wakishinda tumechi tumoja hizo sifa wanazomwagiwa wachezaji utafikiri mpira wanaangaliaga wenyewe. Ngoja wafungwe sasa!! lawama ni kwa Jorginho na VAR.

Hao wachezaji hata game la Chelsea waliwekwa mifukoni vizuri tu. Leo unaambiwa hawakabiki😂😂😂 kushabikia Arse88 ni nusu ya uchizi.
 
Umefufuka leo🤠🤠🤠...mnaendeleaje huko kundini watoto wadogo...na mkijichanganya kwnda Ueropa kule ndo kuna watu wa kazi zaidi...

Back
Top Bottom