Saka naona ana nafasi ya kuanza ,Yupo na timu ,pia nketiah yupo na timu
Usimjibu huyu ,naondoka na account yake sio mudaHaujajibu swali mkuu
Dadamlamayo lakini muandiko wa kiume. Nijue napangua hoja za jinsia gani
Mid iwe naSaka naona ana nafasi ya kuanza ,Yupo na timu ,pia nketiah yupo na timu
Timu ile ile iliyomchakaza Sevilla ianze vile vile

Dogo maisha yamemshika pabaya. Ni kum- ignore tuUsimjibu huyu ,naondoka na account yake sio muda
Hawa vichaa Wana stress za maisha ,wanakuja kumalizia humu
Halafu kweli ,Vieira apewe nafasiMid iwe na
. . . ........,................Fabio V. .....,...Rice.......... Kai
![]()
Kuhusu Kai nilishamaliza nimebaki kumpa sapoti tu.Mbona kaweka wazi hapo kwenye attacking anatakiwa ku improve
Utakuwa kipofu Kama huoni kwasasa Kai anacheza Roles ya Ødegaard na anaitendea haki
Na kwasasa naweza kusema tumepata angalau Mtu wakucheza nafasi ya Øde pale anapokuwa hayupo
RCM Ni nafasi ambayo Kai anaiweza kuliko nafasi zote anazotumika
Ndio maana kocha kasema vs Newcastle ,n.k alifanya vzr
Tatizo mnataka kumuhukumu kwa magoli ,Lakini Soma alichosema kocha hapo umuhimu wake maeneo mengine
Confidence,Kai alishaipata ,
Tumeona alipokuwa anakosekana Øde ,alikuwa akicheza Vieira hafit angalau Smith Rowe, Lakini Kai anacheza Sasa mechi ya 4 hii as RCM,
Hiyo ndiyo kanuni, mara zote kocha akiiongelea hovyo timu au mchezaji wake ujue janga linakuja.Ukisema hivyo nakubali 100%
Bro nakuheshimu sana ila hapa unajipa false hopes kabisaMbona kaweka wazi hapo kwenye attacking anatakiwa ku improve
Utakuwa kipofu Kama huoni kwasasa Kai anacheza Roles ya Ødegaard na anaitendea haki
Na kwasasa naweza kusema tumepata angalau Mtu wakucheza nafasi ya Øde pale anapokuwa hayupo
RCM Ni nafasi ambayo Kai anaiweza kuliko nafasi zote anazotumika
Ndio maana kocha kasema vs Newcastle ,n.k alifanya vzr
Tatizo mnataka kumuhukumu kwa magoli ,Lakini Soma alichosema kocha hapo umuhimu wake maeneo mengine
Confidence,Kai alishaipata ,
Tumeona alipokuwa anakosekana Øde ,alikuwa akicheza Vieira hafit angalau Smith Rowe, Lakini Kai anacheza Sasa mechi ya 4 hii as RCM,
Usimjibu huyu ,naondoka na account yake sio muda
Hawa vichaa Wana stress za maisha ,wanakuja kumalizia humu

Tukiwaambia hii timu yenu ni Milembe Fc hua mnakua wakali

Leta ushahidi lini Arsenal imewahi kuelemewa middleBro nakuheshimu sana ila hapa unajipa false hopes kabisa
Kai hana improvement yoyote ktk position ya RCM,
yuko slow with the ball or without
hawezi hata kukaba effectively( just imagine una no 8 ambaye yuko poor defensively timu itaelemewa tu in mido)
Pass zake ziko very predictable ( he will always look for simple pass to pass N.B hapa tulitaka awe ana offer hata penetration pass, V- pass)
Inability to make dangerous movement/run( yupo yupo tu )
Hapana my arsenal deserve more quality attacks/defensive mido
Ukisema namchukia Kai unakosea mbona hatumchukii Rice Timber or Raya is so simple because they show quality/something on the pitch bro! Thats all
Mimi inaniuma sana my arsenal tulichoshwa sana na hawa average player its our time to have quality player allover
Just imagine hizo 65m tungempata Frenkie De Jong, Zubimendi, Kovacic, Tchoumen??
Kama mtanipiga kwa ishu ya Kai nipigieni tu ila msiniue .......
Arsenal is so big for Kai, wakati tunamsubiri awake tunazidi kujichelewesha.
Huyo Ni ndugu yenu ,Tukiwaambia hii timu yenu ni Milembe Fc hua mnakua wakali
![]()
Hii mid itadominatewa kirahisi. Unless kama hujawacheki Burnley wanavyocheza.Mid iwe na
. . . ........,................Fabio V. .....,...Rice.......... Kai
![]()
Kai angekuwa hivo unavyodai asingecheza na kupata nafasi ,Bro nakuheshimu sana ila hapa unajipa false hopes kabisa
Kai hana improvement yoyote ktk position ya RCM,
yuko slow with the ball or without
hawezi hata kukaba effectively( just imagine una no 8 ambaye yuko poor defensively timu itaelemewa tu in mido)
Pass zake ziko very predictable ( he will always look for simple pass to pass N.B hapa tulitaka awe ana offer hata penetration pass, V- pass)
Inability to make dangerous movement/run( yupo yupo tu )
Hapana my arsenal deserve more quality attacks/defensive mido
Ukisema namchukia Kai unakosea mbona hatumchukii Rice Timber or Raya is so simple because they show quality/something on the pitch bro! Thats all
Mimi inaniuma sana my arsenal tulichoshwa sana na hawa average player its our time to have quality player allover
Just imagine hizo 65m tungempata Frenkie De Jong, Zubimendi, Kovacic, Tchoumen??
Kama mtanipiga kwa ishu ya Kai nipigieni tu ila msiniue .......
Arsenal is so big for Kai, wakati tunamsubiri awake tunazidi kujichelewesha.
Huyo Ni ndugu yenu ,
Soon nasepa na hiyo account yake

Arsenyo ndio timu inayo ongoza kua na mashabiki wa hovyohovyo duniani, siyo Jf pekee hata ukitembelea blogs na forums za arsenyo huko duniani unakutana na comments kama za kina dada mla mayai mpaka unajiuliza hivi mashabiki wa hii team kweli wana wazazi?