mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,695
- 19,545
Kipindi Cha pili zipo 3 Kama wakicheza kwa nidhamuTuongeze Goal
Goal moja sio uhakika
Kipindi Cha pili zipo 3 Kama wakicheza kwa nidhamuTuongeze Goal
Goal moja sio uhakika
Tumemaliza kazi mkuu...kawatoeni uwanjani Sevilla hawataki kuondoka🤠🤠🤠Hatutaki lawama badae kw VAR, Jorgihno wala Lord KAI. hao ndio ng'ombe wenu wa kafara.
Wamepata moja dk ya 97Hawa lazima warudi na 0 Shots OFF na ON Target [emoji457] Maanainaa
Zero Shots Off/On Target kulaaalekiHawa lazima warudi na 0 Shots OFF na ON Target [emoji457] Maanainaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wamepata moja dk ya 97