Bayern, Barca na Madrid wana majina makubwa CL.
Bayern na Madrid wanaweza wakakusurprise CL.
Barca kapotea kabisa CL.
Bayern wameanza kushinda bila clean sheet mara nyingi kuanzia msimu mmoja nyuma. Best LB wao wanamuuza, he is young na tunakumbuka alivyoifanya Barca.
Bayern namna yao ya kusajili imewafikisha hapo walipo.
Madrid kwa sasa akicheza na Arsenal halafu Arsenal akipaki basi nitashangaa. Wana mid nzuri ya Camavinga na Bellingham, wana talents nzuri ila hawana ST, Vini sifa zimemzidia, Tchouamen namuona siyo wa kutishia amani kiasi hicho.
Barca wote tumemshuhudia crisis yake.
Bayern na Madrid kwa zilipofikia zinaweza kufungwa na yeyote. Kwa Arsenal ya sasa sioni kwanini nione tunatakiwa kuhofia kukutana nazo, they have big names kwenye CL ila naamini Arsenal ana chance against them