hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Nisikudanganye NiniHamis usitudanganye hatuwezi chukua kombe la maana kama hatuna CF, Gabriel jesus unamuhesabia ni mchezaji wa kutegemea? hawezi kucheza mechi tatu mfululizo na hata akicheza hafungi.
Utaambiwa anacreate space, sasa yeye aki-create space wakina Odegaad wafanye nini?
Ushawahi kuona Kane anasifiwa ku-create space? Halaand? Lewandowisk?
Tunahitaji straiker kariba ya Victor Osimhen mtu ambae anaenda uwanjani kwa lengo la kufunga na sio ujinga mwingine.
Tukipata na mido kariba ya Partey akiwa mzima 100%.
La sivyo tuwe wapole tuu au tusubirie man city ajikwae ndo tunaweza fikiria kombe.
Mimi naongea uhalisia ambao Kutoka vyanzo vya uhakika kuwa Arsenal haitasajili CF ,Bali watawekeza pesa kwa Kiungo
Unasema nisikudanganye, hivi mnatumiaga akili kweli?
Liverpool ya klopp imetamba sana bila CF ,Pep kasumbua misimu minne bila CF
Mifano Ni mingi Sana ,
Tumia akili ndogo tu,huwez kuwekeza pesa kubwa €100m kwa CF wakati kiungo Kuna shida ,Partey injury,Jorginho na Elneny wanaondoka
Kipaumbele kwasasa sio CF,
Ndio Yale Yale ya Simba kusajili mawinga10 huku kiungo hakuna au ya manjesta kusajili Anthony kwa €100m, casemiro mzee kwa €70m huku huna beki za maana
Angalia kipaumbele Ni Nini
Arsenal Ni moja ya timu 5 , Ulaya Ligi 5 kwakufunga goli nyingi
Timu Ni backline na viungo, magoli anafunga yoyote,
Una Kai, Jesus , Trosaard na Nketiah unataka January waachane na Kusajili kiungo waongeze CF,
Huyo CF atakuwa Kila nafasi anapewa yeye tu?
Tunahitaji CF but sio kipaumbele kwa January ,

