Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hyu alimkaba Saka na bdo goli la kusawazisha likitokea upande wake😅😅😅....badilisha picha weka yle mkimbia hovyo Gusto...naye tutakuambia pia alikimbiakimbia weee lakini still bdo pia goli la kusawazisha likatokea mbele ya macho yake

F9HeIZKXcAAHjR3.jpeg
 
Arsenal are currently 3 points off the top, having played Man City, Man United, Spurs, Chelsea and Newcastle.

Top of the CL group, with 4 points ahead of PSV and Lens and likely will be the group winners.

This is despite Jesus, Partey and Timber being injured for the majority of the season and players like Zinchenko and Odegaard missing games.

We have had a good start to the season don’t let rivals and media fool you to think otherwise.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Msimu wetu utakuwa bora zaidi Timber akirudi, mbinu za Arteta mwanzo wa msimu zilimuangalia sana huyu mchezaji, mechi za pre season hata ile dhidi ya City CS inaonesha wazi. Kukaa bench kwa Magalhaes hata inversion role kwa Partey sababu ilikuwa uwepo wa Timber.
 
Ila akirudi...Arteta aendelee na back 4...mambo ya kumuweka nje toto tundu Malgalhaes hatutaki kabisa...Zinny ndo aanzie nje...yle mjapani wetu atakuwa anapokezana na Benny white a.k.a Blanco....ila natamani sana Kiwior awe anapewa 90 mins hzi mechi ndogondogo kama na kina Manunu au Chelkenge
 
Hawa kondoo wazoee, wakishinda tumechi tumoja hizo sifa wanazomwagiwa wachezaji utafikiri mpira wanaangaliaga wenyewe. Ngoja wafungwe sasa!! lawama ni kwa Jorginho na VAR.

Hao wachezaji hata game la Chelsea waliwekwa mifukoni vizuri tu. Leo unaambiwa hawakabiki kushabikia Arse88 ni nusu ya uchizi.
Sasa mkuu tushinde af tuwe wanyonge?? Sio kweli. Acha tutambe kwanza.
 
Umefufuka leo...mnaendeleaje huko kundini watoto wadogo...na mkijichanganya kwnda Ueropa kule ndo kuna watu wa kazi zaidi...

Nipo katika group of death na still nina chance ya kutoboa , usilinganishe geodie fans na false hopers .

Tukienda ueropa ndo kabisa tunahesabu tayariii kombe 1 kabatini team pekee ambayo tutaenda kwa umakino ni Liverpool tu wengine tunapiga .

Halafu kwanza huko europa hatuendiii na hata tukienda ni poa tu kuliko kuwa kama nyinyi mnatoka 16 bora.
 
🤣🤣🤣....ndo unavyojidanganya hvyo...nilikuambia mwaka huu mmepata sana bahati kucheza haya mashindano mkishatoka msubiri miaka 20 mingine ndo mtapata nafasi ndugu zetu
 
....ndo unavyojidanganya hvyo...nilikuambia mwaka huu mmepata sana bahati kucheza haya mashindano mkishatoka msubiri miaka 20 mingine ndo mtapata nafasi ndugu zetu

Acha maneno
IMG_1970.jpg
hapo vipi kwani yaani hii game arteta kalalamika nasikia kaandika mpaka waraka, wanamuuliza unalalamika nini ? Mpira umetoka?, foul au offside? Still hana jibu.
 
Back
Top Bottom