Hesabu za hapo ni ndogo sana, Luiz hawezi kucheza lone #6 akamzidi Rice, elite #6 ni wachache kuliko #8, yani kumtumia Rice kama #8 wakati ana potential ya kuwa the best #6 itw ni kitu hakimake sense.
City walitaka kumtumia kama #8 coz wana Rodrigo, na rice ni generational ambaye angeweza kuziba gap la De bruyne akiwa injury km Sasa, lakini hata City walimuona Rice kama #6 that's why walianza na Jude kama priority baada ya Jude kwenda Real Madrid ndio majeshi yakarudi kwa Rice, na hii ni baada ya kuona ana potential ya kuwa the best #8, hii inatosha kukuonesha Rice's best position ni #6, yeye mwenyewe umemnukuu amekiri hapo, anakuwa excited kucheza #8 lakini haimaanishi ndio his best position, kinachotokea sasa ni kwamba Arsenal haina top LCM kitu ambacho kina Affect our attacking dynamics, that's why Arteta analazimika kumtumia Rice as #8, na kauli ya kusema Arsenal wanamuona anapiga A+ kama #8 ni kauli ya hovyoo, usitake kuniambia Arteta alikuwa hajui kwamba Rice anaweza kucheza #8, wakati dunia inajua wazi kabisa Pep alimtaka Rice kwa position hiyo ya #8.