Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu matusi ya nini tena nyie Arsenal siyo wa kwanza kufungwa. Man U Chelsea Man City wote wamechezea vipigo na hawajawahi kutukana
Mkuu kwani wewe ni mgeni wa mashabiki wa Arsenyo?
Hili jukwaa la Arsenyo ni zuri siku timu ikishinda, kutwa kusifia ujinga na kupeana false hopes ila siku ikifungwa inakua ndio siku ya kutoa nyongo kwa wale waliodanganywa kwa muda mrefu na kuaminishwa matumaini hewa.



#Hii sasa ndio Arsenyo ya asali na maziwa.
#Mirembe Anbitabo Fc
 

Imekuwa partey akiwepo tena
, na si arsenal ina kikosi kipana kama mlivyokuwa mnapeana false hopes sasa ndo muda kuwaonyesha jinsi gani mnapeana false hopes.

Yaani et partey angekuwepo
ivi mnafikiri ndo nyinyi tu mna majeruhi pekee yenu , sasa na sisi tukianza kusema bora angekuepo tonali, isak, barnes, botman , enderson na wengine kibao au tusingizie burns kaumia.

Timu kubwa inapimwa kwa fighting spirit iliyonayo na team inazocheza nazo ndani ya week 4 Newcastle kacheza na PSG, Dortmund, man city, man utd, westham , wolves na bado kafungwa game 1 tu still na injuries kibao .

Arsenal nyinyi hamna vyote team wala fighting spirit wala kikosi kipana mlichonacho nyinyi ni FALSE HOPE ONLY

Acha kulialia mkuu , fanya ivii nembu unganisha hiyo picha hapo maana huna kazi za kufanya false hoper wewe
 
Hongera mkuu kwa kutupunguzia kelele mjini. Sasa hizi kondoo ni mwendo wa kuzipiga spana mpaka akili ziwakae sawa
 
Hongera mkuu kwa kutupunguzia kelele mjini. Sasa hizi kondoo ni mwendo wa kuzipiga spana mpaka akili ziwakae sawaView attachment 2804051

Asante mkuu
hii game nilikua nasubiri kwa hamu tena ukiangalia huyu mtoto alikua bado hajaguswa yaani yupo slidiiiii basiii nikajiandaa kabisa magetoni st james ajilete mwenyewe nikampa false hopes kibao nikimhakikishia kuwa pale getoni st james atatoka salama bila kumchezea


Now naona ananilaumu sana ooooh sijuii sikumwambia kama VAR ni wako upande wangu mara nimemsukuma kwa nguvu kitandani mara sijuiiii nimempiga bao limetoka nje , imebidi saaa niwaachie wengine nao wajipigie maana kama bikira nishaitoaa kazi kwenu.
 
Licha ya goal la kupewa la Newcastle but huwezi kuwa na Mid ya Jorginho na Kai utegemee maaajabu never ever haitakaa itokee tumeshapiga Grants na wadau maumivu tutakutana nayo morning tulishajua what will happen

Pole sana mkuu ila ndio ukubwa huo pale mkubwa anapokutana na mdogo hata kama ni haki yako ila unalazimishwa kuiachia yaani tumewazidi uwanjani mpaka nje ya uwanja kwenye mpunga sasa mnaanza vipi kuchomoka hapa .
 
Mkuu mmesababisha matusi yamwagike humu leo.

Nilitoa angalizo humu lakini hawakunisikia, niliwaambia kama wanakumbuka vizuriii misimu 2 nyuma hapo hapo ST james arteta aliishiwa sauti akamshika shati mchezaji wake nani yule nuno tavares, tahadhari ni wajipange wasijeshikana mashati tena humu
.

Matusi yametolea humu si mchezo
 
Arteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal

Tuambie angecheza nani mkuu mngemweka elneny baasiii sasa kwa leo false hopers waliokaza sana kai humtoiiiiii amecheza sana
 

Kwani na wewe umepiga shot on goal ngapi zaidi ya ile martineli aliyopiga then pope akadaka kama kijishuti bila wasiwasi kabisa
Mpaka full time wewe una shot on goal ngap na Newcastle ana shot on goal ngapi hesabu basi tuone hapo mwenye nyingi basi apewe ushindi.
 
Poleni sana wakuu. Ninyi ni mataito kontenda, lazima muwe mabingwa msimu huu. Hahahaha๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ